Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!

Kile kichwa acha tu,

Tupeleke watoto Shule jamani🤔
Mandela kunakipindi aligoma kutoka jela baada yakuwekewa masharti kuwa akitoka asifanye siasa akagoma,Malechela akaenda kumbembeleza atoke akagoma ,akasema kwa masharti waliyo nipa nikitoka nje baada ya masaa mache watanirudisha humuhumu kwahiyo afadhali nisitoke.Mwenzake sisulu yeye akakubali akaachiwa.
 
Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.

Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.

DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.

Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.

Nyau de adriz
May 19 + 5 Months=October
 
Una akili sana
 
Kama Umetanua wigo ukawa Mpana, Then sikupingi hata kidogo kwa ndoto zako. If memory serve Correct 🤗 ulishaweka(ga)Uzi wa ndoto yako uliyoota ya msiba mzito wa Jiwe,🫡🫡😌 na ikawa✍️🤬
Sikupingj na sipendi uzembe Sahwaaah ee.
 
Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.

Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.

DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.

Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.

Nyau de adriz
Hakuna ataachiwa June 20 kuchukua form ya kugombea
 
Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.

Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.

DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.

Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.

Nyau de adriz
😂😂😂😂
 
Hawana usha hidi 😆😆😆😆 haya majitu ni 💩💩
 
Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!

Kile kichwa acha tu,

Tupeleke watoto Shule jamani🤔
Kabisa...

Yule jamaa ni noma...

Yule jamaa ni mwingi wa ufahamu na maarifa ambayo ndiyo silaha ya kuitumia kupigana na watawala wajinga...

Hii ndiyo silaha aliyokuwa nayo Yesu Kristo hata akawashinda watawala wote wa dunia hii - UJUZI, UFAHAMU na MAARIFA...

Ndugu, dunia hii ukiwa mjinga (kukosa uelewa na ufahamu) wa kutojua jinsi mambo yalivyo, uataonewa na kunyanyaswa sana na wanao - manipulate intelligence za watu...!

Tuendelee kumwombea Tundu Lissu kwa Mungu Yehova ili amlinde na kumpa Roho Mtakatifu kumwongoza kutenda yaliyo sawa.. Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Back
Top Bottom