Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 834
- 907
Mandela kunakipindi aligoma kutoka jela baada yakuwekewa masharti kuwa akitoka asifanye siasa akagoma,Malechela akaenda kumbembeleza atoke akagoma ,akasema kwa masharti waliyo nipa nikitoka nje baada ya masaa mache watanirudisha humuhumu kwahiyo afadhali nisitoke.Mwenzake sisulu yeye akakubali akaachiwa.Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani๐ค
CCM Wanaomba Poo Ngoma Imekaza Sana SanaVipi mgomo wa kula: alianza mgomo?
Endelea kuota saa sita mchana.akigoma anaachwa humohumo hadi akome nani anambembeleza kwanza kesi bado mbichi kabisa hii hatoki leo wala kesho
Yule ndiyo mtanzania pekee aliyepaza sauti wakati wa magufuli. Yule raisi chizi wakati wengine wote wakiwa wameufyata.Hakika
Kwani kwa mbowe na rwakatare ilikuwaje?Endelea kuota saa sita mchana.
Naomba nikazie..Na sio shule tu ilimradi shule .Mpeleke shule zinazoeleweka.Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani๐ค
May 19 + 5 Months=OctoberNaweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Beberu akiwa anakuandama..Ukiwa unahitaji msaada mhisani,mdau na majina mengine matamu matamu.Mbele ya mabilioni ya mabeberu. Lazima iwe.
๐คฃ๐คฃ๐Beberu akiwa anakuandama..Ukiwa unahitaji msaada mhisani,mdau na majina mengine matamu matamu.
Una akili sanaNaweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Hakuna ataachiwa June 20 kuchukua form ya kugombeaNaweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
๐๐๐๐Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Hawana usha hidi ๐๐๐๐ haya majitu ni ๐ฉ๐ฉNaweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Kauli zako zimenichekesha mno.Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani๐ค
Kabisa...Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani๐ค