Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!

Kile kichwa acha tu,

Tupeleke watoto Shule jamani🤔
hawa huwa wanapuyangapuyanga tu yaan hata kama huna elimu kama mm unaona kabisa walikuwa wameshiba maharagwe kutengeneza kesi hyo!Sijui kwann huwa hawaangalii hata hulka ya mtu wanayemtengenezea kesi!Still mtu mwenyew ni high profile kwenye mfumo wa vyama vingi Tz..yanajisahau kuwa dev.partners wao nje kwasasa hawatak ujinga kama huu!
 
ahahahhhh kwake siyo rahisi safari hii mpaka waseme ilikuwaje wamkamate kwa uhaini halafu kirahisi tu hatuna haja ya kuendelea na hii kesi
 
Namwomba Mungu hili likatokee arudi mtaani kuendeleza pale alipoishi. Moto ni uleule,.
NoReformNoElection.
 
Amen Amen Amen.
 
Note: YEHOVA ndiye huyo huyo Yesu.

Mungu ni mmoja tu, na jina la huyo Mungu mmoja,jina tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo ni Yesu Kristo.
 
Na mategemeo ya haya kutokea iwe sababu ya wapenda haki kulegeza chochote.
 
Note: YEHOVA ndiye huyo huyo Yesu.

Mungu ni mmoja tu, na jina la huyo Mungu mmoja,jina tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo ni Yesu Kristo.
Naona unaingia kwenye mzigo mkuu 'Rabbon'!

Naam, kila ukumbi ni fursa ya kueneza neno, au siyo? nasubiri siku moja kukuona mbele ya mlango wa msikiti wa ijumaa ukieneza neno hilo hilo!
 
Naona unaingia kwenye mzigo mkuu 'Rabbon'!

Naam, kila ukumbi ni fursa ya kueneza neno, au siyo?
Tumeagizwa kupeleka Injili kwa Kila kiumbe everywhere!

Askari nimeshika zamu yangu.
 
Jumuiya za kimataifa zimeikalia kooni Tz vibaya sana.

Kwa namna ulivyopiga mahesabu jambo hilo, linawezekana kabisa isee!
 
Never happen 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kesi lazima ifike mwisho, wanasheria wapambane tuzione mbivu dhidi ya mbichi. Haachiwi mtu tarehe 19/5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…