Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

Lissu hatutamachia hadi uchaguzi uishe.
 
Mimi naamini na nina uhakika Lissu LAZIMA AHUKUMIWE KUNYONGWA HADI KUFA maana hiyo ndio adhabu ya uhaini!
 
Kunguni wamemla sana, akitoka hapo breki ya kwanza ubelgiji akalale mwezi mzima
 
Ukishaona upelelezi haujakamilika ujue lengo ni kumbakiza gerezani kwa muda mrefu.
 
akigoma anaachwa humohumo hadi akome nani anambembeleza kwanza kesi bado mbichi kabisa hii hatoki leo wala kesho
we mshangazi unaogopa sana jela au walikujigijigi
 
Dah za ndani umeshazitoa nje😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…