Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

sasa raisi mtarajiwa vipi wakati uchaguzi mumegoma kushiriki? au 2030?
 
akigoma anaachwa humohumo hadi akome nani anambembeleza kwanza kesi bado mbichi kabisa hii hatoki leo wala kesho
Unae koma ni wewe mdada mwenye domo refu kama chuchunge, mwanaume wa shoka hakomi huko jela no reform no election inatembea mpaka kwa maafande na wanailewa
 
Knock out ya Mama 🤣🤣🤣
Tangazo limebandikwa pale magomeni Sokoni tena kuna billboards kama Tatu hivi.

Yaani hawa watu wamekosa hata uwezo wa kufikiria. Wamekuwa ni beggers tu kutegemea wakiandika vile pochi la mama litatema.

Kuna mambo inatakiwa yawekwe Sawa haraka sana.
 
Sema rais wa wa jamhuri ya muungano wa tanzania na si tanganyika. Tanganyika ipo ila haijahuishwa ianze tena kuitwa hivyo
 
Kabisa... Na hata akialikwa Ikulu atagoma kwenda!
aende tu ikulu kama ataalikwa kunako maridhiano na akubali tu kushiriki uchaguzi bila reforms. Hayo ya reforms watayafanya wakikamata dola
 
Ni Bora iwe hivo, Ile kesi ni ya kisiasa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…