Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA.
Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si kweli.
Kingine watachoweza kufanya, ni kuandaa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa ili Mama apige nao picha na hapa namshauri Mbowe amtume Katibu mkuu wa chama au makama mwenyekiti Visiwani na yeye atulie nyumbani au ofisini kwake kuondoa kinachotafutwa.
Haiwezekani wakutese halafu tena wajisafishe kupitia wewe, kama ni waungwana, wakuombe kwanza radhi ndio mambo mengine yaendelee.
Watatamani kufanya hivyo sasa kwasababu jambo hili bado liko vichwani mwa watu(bado halijapoa), hivyo wakikualika, usienda kipindi hiki labda baada ya mwakani mmoja au miwili baade lakini sio sasa.