Utabiri: Mbowe utaalikwa kwenda Magogoni, ila nakushauri ukienda kwa siku hizi za karibuni

Nahisi mshana kakuacha vizuri sijui kisa yeye ndio hivyo kazeeka?
 
Hakuna Tatizo Mbowe kwenda Ikulu kwa sasa. Upinzani nchi hii hauonekani kuweza au hii sio rahisi kuitoa CCM madarakani bila CCM yenyewe kugawanyika. Mojawapo ya mambo yanayowaunganisha CCM kwa sasa ni msimamo mkali wa CHADEMA dhidi ya CCM yote, Mbowe kukubali mkono wa amani wa upande mmoja ni pigo kubwa kwa hardliners/mataga na itazidisha ufa ndani yao ambalo ni jambo jema kwa CDM
You have nailed it!
Pigo hili kwa ccm,hasa wale wa mrengo wa pande zilee za kule
 
Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA.

Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si kweli.

Kingine watachoweza kufanya, ni kuandaa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa ili Mama apige nao picha na hapa namshauri Mbowe amtume Katibu mkuu wa chama au makama mwenyekiti Visiwani na yeye atulie nyumbani au ofisini kwake kuondoa kinachotafutwa.

Haiwezekani wakutese halafu tena wajisafishe kupitia wewe, kama ni waungwana, wakuombe kwanza radhi ndio mambo mengine yaendelee.

Watatamani kufanya hivyo sasa kwasababu jambo hili bado liko vichwani mwa watu(bado halijapoa), hivyo wakikualika, usienda kipindi hiki labda baada ya mwakani mmoja au miwili baade lakini sio sasa.
Kweli umeona mbali
 
Una hoja nzuri mkuu lakini katika harakati za mapambano kama hizi sio BUSARA wala HEKIMA, KUSUSIA (Sulk!) kukutana na mshindani wako (pratagonist) hususani pale wote mnapoamini kwamba "Round table" aka meza ya mazungumzo ndio suluhu, tofauti na hivyo ni kuchukua silaha na kusahau AMANI!
Hayati Nelson Mandela hata baada ya miaka 27 gerezani bado hakususa kukutana na watesi wake, sembuse miezi 8 tu ya FAM! Na Madiba alipata matokeo chanya yaliyotarajiwa na wanachi wa Azania.
 
Rais anaomba kukutana na Gaidi Ikulu🐒🐒🐒
022030WA0001.jpg
AgirfQ.jpg
 
Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA.

Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si kweli.

Kingine watachoweza kufanya, ni kuandaa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa ili Mama apige nao picha na hapa namshauri Mbowe amtume Katibu mkuu wa chama au makama mwenyekiti Visiwani na yeye atulie nyumbani au ofisini kwake kuondoa kinachotafutwa.

Haiwezekani wakutese halafu tena wajisafishe kupitia wewe, kama ni waungwana, wakuombe kwanza radhi ndio mambo mengine yaendelee.

Watatamani kufanya hivyo sasa kwasababu jambo hili bado liko vichwani mwa watu(bado halijapoa), hivyo wakikualika, usienda kipindi hiki labda baada ya mwakani mmoja au miwili baade lakini sio sasa.
Yaani Mchaga kaalikwa halafu ashindwe kwenda Ikulu?????

You are not serious
 
Uliona mbali kijana
 
Back
Top Bottom