Utabiri: Mbowe utaalikwa kwenda Magogoni, ila nakushauri ukienda kwa siku hizi za karibuni

Nahisi mshana kakuacha vizuri sijui kisa yeye ndio hivyo kazeeka?
 
Kijana tuliza mzuka!
Kabisa bwashe.....Huyu baada ya kupata update ya viongozi wa CDM anakuja kama mtabirj. Salary Slip unatuchosha kwa ujinga wako huu. Hili jambo halitaki sanaa wala mzaha. Achana na utabiri wa kiwango cha mfalme zumaridi. Ni ujuha
 
You have nailed it!
Pigo hili kwa ccm,hasa wale wa mrengo wa pande zilee za kule
 
Kweli umeona mbali
 
Una hoja nzuri mkuu lakini katika harakati za mapambano kama hizi sio BUSARA wala HEKIMA, KUSUSIA (Sulk!) kukutana na mshindani wako (pratagonist) hususani pale wote mnapoamini kwamba "Round table" aka meza ya mazungumzo ndio suluhu, tofauti na hivyo ni kuchukua silaha na kusahau AMANI!
Hayati Nelson Mandela hata baada ya miaka 27 gerezani bado hakususa kukutana na watesi wake, sembuse miezi 8 tu ya FAM! Na Madiba alipata matokeo chanya yaliyotarajiwa na wanachi wa Azania.
 
Yaani Mchaga kaalikwa halafu ashindwe kwenda Ikulu?????


You are not serious
 
Uliona mbali kijana
 
 
Haiwezekani wakutese halafu tena wajisafishe kupitia wewe, kama ni waungwana, wakuombe kwanza radhi ndio mambo mengine yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…