Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Samia ni wa kwetu tunaenda nae.
CCM ni kubwa zaidi ya mtu. 2030 mtoa mada anzisha ramli hizi but 2025 bado tupo na huyo “Mwanamke” wa Shoka.
 
Awe Mwanamke asiwe mwanamke ,akichukuwa Uraisi mbongo basi baada ya mwaka mmoja miwili anafariki Uraisi unarudi kwa mzenji, mpo hapo.
Yaani mpaka mtaelewa yaotayo chini si nywele ni ndevu. hataniwi mtu mbongo anaegombea ajue ndio anaelekea giningi akakutane na magufuli na Seif waulzane kulikoni.
 
Sisi kazi yetu ni kusoma, kuomba uzima majira na muda uliotabiriwa utukute tungali tunaishi...
Comment yako nimeipenda sana..Mara zote me hupenda kusoma taarifa jamii forum ili kujifunza na kuona watu wanaosema au kuandika kitu gani kitatokea hakika tuombe uzima tu kushuhudia hayo.
 
ukitaka kuruka sharti agana na nyonga.

kwa upepo ulivyo. nafasi ya urais itakuwa ya kuogofya kwani kabla ya 25 mpango atakuwa rais tayari.
mama yenu atapumzishwa kwa manufaa ya "UMMA' na akikaidi ata leftishwa in Peace
Hii ndiyo niijuayo mimi. Ndivyo inaenda kutokea.
Hizo hadithi zingine ni kama hadithi za sungura na fisi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukishakuwa waziri/naibu waziri mkuu, urais sahau
Huyo naibu waziri mkuu anafanyiwa 'character damage' mabaya yote atarushiwa yeye akayapambanie kuwa rais asahau. Chama cha waovu kina tabia ya kutafuta mtu kuwa dodoki lao wakishamaliza kukutumia ama wataanza kukubebesha tuhuma kupitia kwa wapinzani ama wanakuondosha.....you end up just like that....
 
Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.

Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.

1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.

2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.

3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.

4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.

5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.

6. Wabunge wengi waliopo sasa watumie vyema fedha zao kuwekeza na wasichukue form za kugombea tena maana watakatwa.

7. Sura mpya kabisa zitapokea kijiti kuongoza nchi na wapinzani watapata baadhi ya majimbo maana mtu kama Dr Msukuma atahama chama na kushinda kwenye chama chake kipya.

Asanteni
Shauri yako utatekwa wewe
 
Inaonyesha jinsi Gani CCM walivyo wabinafsi, DS wakiwa ni vibaraka Tu 🤣
 
Huyo naibu waziri mkuu anafanyiwa 'character damage' mabaya yote atarushiwa yeye akayapambanie kuwa rais asahau. Chama cha waovu kina tabia ya kutafuta mtu kuwa dodoki lao wakishamaliza kukutumia ama wataanza kukubebesha tuhuma kupitia kwa wapinzani ama wanakuondosha.....you end up just like that....
Huyo anaweza kuwa Waziri mkuu kamili very soon ili kuiteka kanda ya Ziwa 2025 !! Mark my words !!
 
Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.

Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.

1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.

2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.

3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.

4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.

5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.

6. Wabunge wengi waliopo sasa watumie vyema fedha zao kuwekeza na wasichukue form za kugombea tena maana watakatwa.

7. Sura mpya kabisa zitapokea kijiti kuongoza nchi na wapinzani watapata baadhi ya majimbo maana mtu kama Dr Msukuma atahama chama na kushinda kwenye chama chake kipya.

Asanteni
Kwani Jiwe anasemaje huko motoni?
 
Rais atakuwa Askofu Josephat Gwajima!
 
Back
Top Bottom