KusiniKuchele
Member
- Oct 26, 2015
- 78
- 120
Kama form huwa ni moja tuKwa CCM form ina printiwa fomu moja tuu, the one and only!.
Hii ndio demokrasia ya CCM!.
P
Comment yako nimeipenda sana..Mara zote me hupenda kusoma taarifa jamii forum ili kujifunza na kuona watu wanaosema au kuandika kitu gani kitatokea hakika tuombe uzima tu kushuhudia hayo.Sisi kazi yetu ni kusoma, kuomba uzima majira na muda uliotabiriwa utukute tungali tunaishi...
Hii ndiyo niijuayo mimi. Ndivyo inaenda kutokea.ukitaka kuruka sharti agana na nyonga.
kwa upepo ulivyo. nafasi ya urais itakuwa ya kuogofya kwani kabla ya 25 mpango atakuwa rais tayari.
mama yenu atapumzishwa kwa manufaa ya "UMMA' na akikaidi ata leftishwa in Peace
Huyo naibu waziri mkuu anafanyiwa 'character damage' mabaya yote atarushiwa yeye akayapambanie kuwa rais asahau. Chama cha waovu kina tabia ya kutafuta mtu kuwa dodoki lao wakishamaliza kukutumia ama wataanza kukubebesha tuhuma kupitia kwa wapinzani ama wanakuondosha.....you end up just like that....Ukishakuwa waziri/naibu waziri mkuu, urais sahau
Shauri yako utatekwa weweHabari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.
Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.
1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.
2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.
3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.
4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.
5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.
6. Wabunge wengi waliopo sasa watumie vyema fedha zao kuwekeza na wasichukue form za kugombea tena maana watakatwa.
7. Sura mpya kabisa zitapokea kijiti kuongoza nchi na wapinzani watapata baadhi ya majimbo maana mtu kama Dr Msukuma atahama chama na kushinda kwenye chama chake kipya.
Asanteni
Huyo anaweza kuwa Waziri mkuu kamili very soon ili kuiteka kanda ya Ziwa 2025 !! Mark my words !!Huyo naibu waziri mkuu anafanyiwa 'character damage' mabaya yote atarushiwa yeye akayapambanie kuwa rais asahau. Chama cha waovu kina tabia ya kutafuta mtu kuwa dodoki lao wakishamaliza kukutumia ama wataanza kukubebesha tuhuma kupitia kwa wapinzani ama wanakuondosha.....you end up just like that....
Kwani Jiwe anasemaje huko motoni?Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.
Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.
1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.
2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.
3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.
4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.
5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.
6. Wabunge wengi waliopo sasa watumie vyema fedha zao kuwekeza na wasichukue form za kugombea tena maana watakatwa.
7. Sura mpya kabisa zitapokea kijiti kuongoza nchi na wapinzani watapata baadhi ya majimbo maana mtu kama Dr Msukuma atahama chama na kushinda kwenye chama chake kipya.
Asanteni
Jiandae kwa maumivuMama mpaka 2030 wenye wivu mnywe sumu
Rais atakuwa Askofu Josephat Gwajima!Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.
Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.
1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.
2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.
3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.
4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.
5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.
6. Wabunge wengi waliopo sasa watumie vyema fedha zao kuwekeza na wasichukue form za kugombea tena maana watakatwa.
7. Sura mpya kabisa zitapokea kijiti kuongoza nchi na wapinzani watapata baadhi ya majimbo maana mtu kama Dr Msukuma atahama chama na kushinda kwenye chama chake kipya.
Asanteni
hapo ulipo haijalishi utasema kwa sauti au kwa siri... lakini sema MBENGO ZITAFONGOKARais atakuwa Askofu Josephat Gwajima!
🤣🤣🤣 huamini au . Samia ndio rais wako mpaka 2030
Na hutaamini kitakachotokea utakosa pakukimbilia🤣🤣🤣 huamini au . Samia ndio rais wako mpaka 2030
Sawa tuombe uzima tutakumbushana hapa hapa.Na hutaamini kitakachotokea utakosa pakukimbilia
Sawa mkuuSawa tuombe uzima tutakumbushana hapa hapa.