Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam na Uhai wao na Leo hatuna tena.
Tuna Kushukuru kwa viongozi shupavu na wali kuwa na uthubutu kulivusha Taifa hili ktk nyakati nzito na ngumu na kamwe hawakukata tamaa Asante kwa wakuu wamajeshi Asante kwa wakuu wa usalama wa Taifa Asante kwa wakuu wa Vyombo vya ulinzi shupavu walio sema we will die ila Taifa litasimama.
Mungu tunasema Asante kwa viongozi wakuu wakitaifa ambao leo hatunao tena Asante kwakuwa wao ndio chanzo cha Taifa hili leo. Asante kwa ajili ya Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere. Asante kwa ajili ya Mzee Abeid Karume, Asante kwa Haya Moringe Sokoine Asante Mungu maana yote haya ni kwa utukufu wako ili Wewe uogopwe na uheshimiwe. Baba Asante kwa wamajeshi wetu walio fia vitani hasa ile vita ya uganda. Mungu Asante kwa ajili ya Mageneral wote wa jeshi la ulinzi wa Taifa la Tanzania ambao leo hatunao tena Mungu usiwasahau hawa walimwaga dam kwa ajili ya Taifa hili kwenye most softcated operation na Leo tuna Taifa la Tanzania.
Asante kwa kutupa Jemedari Hayati John Pombe Magufuli. Asante kwakuwa hakumaliza kazi lakini yote nikwa utukufu wa Mungu.
Mungu tuna kuomba 2025 ikawe yakipeke hasa tuna elekea uchaguzi 2025 tunakuomba Mungu. Ukawalinde wale watakao ktk ku vet Rais wa Tanzania. Mungu hii shughuli itakuwa nzito sana hasa ukizingatia nyakati tulizopo na ujasusi wakidola Africa. Mungu tuna hitaji watu wenye hofu na Mungu ndio wakamchaguwe Rais wa Tanzania. Mungu tuna kataaa madaraka yakupeana either kwa jinsia, urafiki, undugu, ukabila au udini. Mungu watanzania tuna hitaji Rais na sio jinsia awe mume au mke basi awe na misuli kuliongoza hili Taifa, Mungu tuna hitaji Rais mwenye roho ya uthubutu na anye juwa kero na mateso ya watanzania nakutupatia majibu. Baba wapo watu muhimu sana lazima wafike 2025 japo ni wazee sana ila tunakuomba uwape pumzi ya Uhai watuchagulie Rais wa Saba ndipo uwapende zaidi. Haya majabali yalio Baki ukayalinde kwa ustawi wa Taifa hili.
Mungu tunawaombe wakuu wa ulinzi na usalama na vikosi vyote maalumu ktk kazi maalumu project 2025Q (Utabiri) wape akili uwezo wa ajabu kufanikisha kazi walizo NAZO na mwisho kulipatia Taifa Rais wa Saba. Kuna watu wangetamani Taifa hili kuwa Mali yao na uzao wao Mungu wangu Hilo lisitokee chini ya uwepo wako. Macho yetu yapo kwako macho yetu yapo Mbinguni usitupite wana wako wa Tanzania. 🙏😭🙏🙏🙏
Crazy
 
Au tayari mnataka mliamshe dude tena!!? Usikute tayari mpo kwenye mipango hata hamsemi😵😵😵

Kama ndio hivyo tumbisane mapema bhana sisi ilemambo ya bulresa bandi hatutaki
 
We dogo, uwe na lugha za heshima!. Aliyemleta JPM ndio huyo huyo aliyemtwa JPM na kutuletea Samia!. Kiukweli kabisa kuna watu humu mtashangaa sana hiyo 2025 na kushindwa kuamini macho na masikio yenu!. Mbona wenzenu tumeisha ambiwa Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
Usinitishe bro ! Na kama aliyejuu ndo alimtwaa hongera.kina azori na bensaanane wao hawakutwaliwa n'a aliye juu walitwaliwa n'a maiti

Msilazimishe huzuni ya kikundi iwe ya taifa sisi hatumtaki na tulifurahia
 
Usinitishe bro ! Na kama aliyejuu ndo alimtwaa hongera.
Sio nakutisha bali nakupa facts, tuu kuwa ni ALIYE JUU MDIYE alimleta, na akamtwaa. Ni HUYO HUYO NDIYE aliyemleta Mama!. Na baada ya kumtwaa saa hizi wako naye kwake mbinguni peponi kwenye raha ya milele!. Ni YEYE ndiye ametuletea Samia na ndiye ataamua kama Samia anaendelea hadi 2030!.
kina azori na bensaanane wao hawakutwaliwa n'a aliye juu walitwaliwa n'a maiti
Kwa vile wote wawili walipotea, no one knows what happened to them na kama wapo au walitwaliwa, please don't assume!.
Msilazimishe huzuni ya kikundi iwe ya taifa sisi hatumtaki na tulifurahia
Mtu yoyote kufurahia kifo cha binadamu mwingine yeyote, ni ushetani!.
P
 
Sio tuu ni aliye juu ndio amemtwa, bali ndiye aliyemleta, na ndiye aliyemleta Mama!. Na baada ya kumtwaa saa hizi wako naye kwake mbinguni peponi kwenye raha ya milele!. Ni YEYE ndiye ametuletea Samia na ndiye ataamua kama Samia anaendelea hadi 2030!.

Kwa vile wote wawili walipotea, no one knows what happened to them na kama wapo au walitwaliwa, please don't assume!.

Mtu yoyote kufurahia kifo cha binadamu mwingine yeyote, ni ushetani!.
P
Ntajibu ifuatavyo
1.aliemleta ni uhakika aliejuu ila aliemtwaa ni mjadala .jiwe alimtwaa saanane n'a wale wa viloba pwani .kaini alimtwaa abel
2.no one know? Hahaha saanane alihoji phd.acha kujitia uchawa bwana njaa(mayala) wote tunajua yesu alikufa kwa mamlaka ya pontio pilato.kama walivotekwa roma n'a kuliwa ndogo ,tundulisi kwa matakwa ya jiwe pilato
3.wana waisrael alipokufa goriath walilia kwa huzuni ?? N'a sisi kama waisrael hatukupaswa zika ilipaswa tukate kichwa
 
CCM wanao utamaduni wao, 2025 itachapishwa fomu moja tu ya mwenyekiti.

Hakutakuwa na kamati wala nini, mkutano mkuu utafanyika kama formality kupitisha jina, na very likely atapata 100%!
 
Ndugu yangu utapata kiharusi bure, CCM wanao utamaduni wao, 2025 itachapishwa fomu moja tu ya mwenyekiti.

Hakutakuwa na kamati wala nini, mkutano mkuu utafanyika kama formality kupisha jina, na very likely atapata 100%! Kwenye ubunge pia wale wahafidhina wajiandae kufanya kazi nyingine, CCM inakwenda kuwa na bunge litakalopitisha mchakato wa katiba mpya.

Kituo kinachofuata ni 2030. Tofauti na hapo kabla mtumie mbinu za giza, ambazo ni very unlikely kufanikiwa.
Ungeuliza, azimio la MAKAMBA senior kuhusu kuwashawishi wajumbe kupitisha azimio kuwa mgombea ni Sa100 lilipuuzwa vp tungepata Nuru!!

Kwann wajumbe hawakuazimia Kwa pamoja juu ya mgombea 2025?

Akiba ya maneno ni muhimu.
 
Back
Top Bottom