Samia ana hofu ya Mungu.
Aliyemleta Samia ni Mungu na kama amempangia kuendelea, Samia ataendelea. Aliyeleta rais wa jinsia nyingine pia ni Mungu.
Hata Samia ni rais wa JMT na sio jinsia yake, msuli anao na sote tumeuona
Samia ameonyesha uthubutu mkubwa sana kupita hata marais wanaume
Kazi inaendelea
Ndani ya CCM hakuna uchaguzi ni Samia tuu!, unless ile sauti ni ya YEYE. Hii ya kusema 2025 tunatafuta rais wa awamu ya 7 haijakaa poa unless wewe mwenzetu tayari umeisha ambiwa 2025 sio Samia!.
Hii haijakaa poa. Kama umeambiwa sema...
Mkuu nabii wetu
TumainiEl , kwa sisi wasomaji wa jicho la tatu, hii sala yako haijakaa vizuri na haina nia Njema na Mama kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ndani wa CCM, 2025 inatolewa fomu moja tuu ya urais kwa mtu mmoja tuu!. Hakuna kamati ya kumjadili bali ni procedures tuu za kumpitisha!, sasa hii kamati unayoiombea wewe ni kamati ya kufanya nini?.
Rais wa Tanzania kwa 2025 tayari aliishapangwa siku nyingi na Mungu mwenyewe ila sisi tuu ndio bado hatujaambiwa aliyepangiwa ni nani. Sasa kwa vile Mungu ametuletea Samia, kwa sasa twende na Samia mpaka pale Mungu atakapo tuonyesha vinginevyo kama nilivyo shauri hapa
Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila pia kuna hii sauti niliyoisikia
Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke ila sina uhakika sana ni sauti ya nani!, hivyo kama ni sauti ya kwake YEYE, then sio sauti ya kuipuuzia, na muda muafaka ukifika, hata Samia mwenyewe ataelezwa, kuwa ni wewe!. Naamini hata ile siku ya Wanawake Duniani ya Machi 8 mwaka 2017 tulipomshauri JPM, asigombee awamu take ya pili na badala yake ampishe VP wake Samia, naamini JPM alisoma
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” tulishauri
lakini ndio hivyo tena!.
Mwezi April mwaka wa uchaguzi, 2020, tukashauri tena
"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Naamini kabisa hata JPM mwenyewe atakuwa aliambiwa kitu lakini ndio hivyo tena!.
Hivyo kama hii sauti ni yake YEYE mwenyewe ambaye NDIYE, then Mama ataambiwa na ukiambiwa asipuuzie!!. Lakini kama sauti hii sio yake YEYE bali ni sauti ya yeye tuu, then Samia hataambiwa kitu na asipoambiwa kitu, 2025 tunakwenda na Samia na itakuwa ni Samia!.
P