NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Nashangaa kimya SIJUI imeishia wapi!!?Hivi ile move ya kuzuia boarding za watoto wadogo imefikia hatua gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa kimya SIJUI imeishia wapi!!?Hivi ile move ya kuzuia boarding za watoto wadogo imefikia hatua gani?
Ni mojawapo ya moves ambazo ni za ajabu sana. Kwamba badala ya watoto kulelewa mashuleni na walimu ambao wako chini ya mikono ya Serikali; wawe wanalelewa majumbani na ma-house girl ambao wanaweza kuwanyonga na kukimbia kusikojulikana. Kuna hujuma zingine ambazo angalau akili inatakiwa iwe inatumikaNashangaa kimya SIJUI imeishia wapi!!?
Ukubali ukatae watu hawataumiza kichwa tunajua Rais ni mmoja tu Samia Suluhu Hassan maana amefanikiwa kuwateka watanzania wote kupitia maendeleo yao anayoyafanya Tanzania kwaiyo usijisumbue Maana Mungu ndio amemleta Rais Samia kwetu kwa mapenzi yake mwenyeweMungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam na Uhai wao na Leo hatuna tena.
Tuna Kushukuru kwa viongozi shupavu na wali kuwa na uthubutu kulivusha Taifa hili ktk nyakati nzito na ngumu na kamwe hawakukata tamaa Asante kwa wakuu wamajeshi Asante kwa wakuu wa usalama wa Taifa Asante kwa wakuu wa Vyombo vya ulinzi shupavu walio sema we will die ila Taifa litasimama.
Mungu tunasema Asante kwa viongozi wakuu wakitaifa ambao leo hatunao tena Asante kwakuwa wao ndio chanzo cha Taifa hili leo. Asante kwa ajili ya Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Asante kwa ajili ya Mzee Abeid Karume, Asante kwa Haya Moringe Sokoine Asante Mungu maana yote haya ni kwa utukufu wako ili Wewe uogopwe na uheshimiwe. Baba Asante kwa wamajeshi wetu walio fia vitani hasa ile vita ya uganda.
Mungu Asante kwa ajili ya Mageneral wote wa jeshi la ulinzi wa Taifa la Tanzania ambao leo hatunao tena Mungu usiwasahau hawa walimwaga dam kwa ajili ya Taifa hili kwenye most softcated operation na Leo tuna Taifa la Tanzania.
Asante kwa kutupa Jemedari Hayati John Pombe Magufuli. Asante kwakuwa hakumaliza kazi lakini yote nikwa utukufu wa Mungu.
Mungu tuna kuomba 2025 ikawe yakipeke hasa tuna elekea uchaguzi 2025 tunakuomba Mungu. Ukawalinde wale watakao ktk ku vet Rais wa Tanzania. Mungu hii shughuli itakuwa nzito sana hasa ukizingatia nyakati tulizopo na ujasusi wakidola Africa. Mungu tuna hitaji watu wenye hofu na Mungu ndio wakamchaguwe Rais wa Tanzania.
Mungu tuna kataaa madaraka yakupeana either kwa jinsia, urafiki, undugu, ukabila au udini. Mungu watanzania tuna hitaji Rais na sio jinsia awe mume au mke basi awe na misuli kuliongoza hili Taifa, Mungu tuna hitaji Rais mwenye roho ya uthubutu na anye juwa kero na mateso ya watanzania nakutupatia majibu.
Baba wapo watu muhimu sana lazima wafike 2025 japo ni wazee sana ila tunakuomba uwape pumzi ya Uhai watuchagulie Rais wa Saba ndipo uwapende zaidi. Haya majabali yalio Baki ukayalinde kwa ustawi wa Taifa hili.
Mungu tunawaombe wakuu wa ulinzi na usalama na vikosi vyote maalumu ktk kazi maalumu project 2025Q (Utabiri) wape akili uwezo wa ajabu kufanikisha kazi walizo NAZO na mwisho kulipatia Taifa Rais wa Saba.
Kuna watu wangetamani Taifa hili kuwa Mali yao na uzao wao Mungu wangu Hilo lisitokee chini ya uwepo wako. Macho yetu yapo kwako macho yetu yapo Mbinguni usitupite wana wako wa Tanzania. 🙏😭🙏🙏🙏
Rais Samia Suluhu lazima agombee na kwa habari nazozisikia atapita bila kupingwa maana yani hapa inabidi tuwaze uchaguzi wa 2030Unataka kusema mama Samia hagombei tena? Au hata jina lake Mungu akilipa kibali sawa tu?
Chanjo inavimelea vinavyoharibu dna yenye kutoa wanaume wasio na homoni za kiume haina madhara kwa mchanjwa ila ina madhara kwa uzao wakeChanjo inaua tangu lini?. Kupitia chanjo Dunia imerudi kwenye normal life. Na rate ya maambukizi yakapungua. Halafu marekani gani imesema hivyo?.
Wacha weee....Fomu ni moja tu, ya Rais Samia, kama ulivyo utamaduni [emoji16]
Mweee jamani...Rais Samia Suluhu lazima agombee na kwa habari nazozisikia atapita bila kupingwa maana yani hapa inabidi tuwaze uchaguzi wa 2030
🤐😭🤐😭🤐😭[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤐😭🤐📜Ole wao wasimpitishe samia tutagawana chaga pale dodoma
🤐📜Hii ni RUBBISH!! Awamu ya Saba inatoka wapi? Mwaka 2025 ni Samia MITANO tena. Nyie watu wa Magufuli futeni mawazo, kizazi chenu au watu wenye itikadi ya UKATILI, UUAJI, WIZI na UWONGO hamna nafasi kwa Tanzania yetu kamwe.
Aiseee🤐📜Samia ana hofu ya Mungu.
Aliyemleta Samia ni Mungu na kama amempangia kuendelea, Samia ataendelea. Aliyeleta rais wa jinsia nyingine pia ni Mungu.
Hata Samia ni rais wa JMT na sio jinsia yake, msuli anao na sote tumeuona
Samia ameonyesha uthubutu mkubwa sana kupita hata marais wanaume
Kazi inaendelea
Ndani ya CCM hakuna uchaguzi ni Samia tuu!, unless ile sauti ni ya YEYE. Hii ya kusema 2025 tunatafuta rais wa awamu ya 7 haijakaa poa unless wewe mwenzetu tayari umeisha ambiwa 2025 sio Samia!.
Hii haijakaa poa. Kama umeambiwa sema...
Mkuu nabii wetu TumainiEl , kwa sisi wasomaji wa jicho la tatu, hii sala yako haijakaa vizuri na haina nia Njema na Mama!.
Rais wa Tanzania kwa 2025 tayari aliishapangwa na Mungu ila sisi bado hatujaambiwa aliyepangiwa ni nani. Sasa kwa vile Mungu ametuletea Samia, kwa sasa twende na Samia Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila pia kuna hii sauti niliisikia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo ni sauti yake YEYE, then Samia ataelezwa, kama hii sauti sio yake YEYE bali ni sauti ya yeye, then 2025 tunakwenda na Samia.
P
AsanteHamna kitu humu, ana tabiri hewa kibao humu hana maana ni wa kupuuzwa, ajabu anamuhusisha Mungu na hii tumbaku yake.
Mkuu hii issue imekaaje,ni kweli TISS hawajui?Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam na Uhai wao na Leo hatuna tena.
Tuna Kushukuru kwa viongozi shupavu na wali kuwa na uthubutu kulivusha Taifa hili ktk nyakati nzito na ngumu na kamwe hawakukata tamaa Asante kwa wakuu wamajeshi Asante kwa wakuu wa usalama wa Taifa Asante kwa wakuu wa Vyombo vya ulinzi shupavu walio sema we will die ila Taifa litasimama.
Mungu tunasema Asante kwa viongozi wakuu wakitaifa ambao leo hatunao tena Asante kwakuwa wao ndio chanzo cha Taifa hili leo. Asante kwa ajili ya Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Asante kwa ajili ya Mzee Abeid Karume, Asante kwa Haya Moringe Sokoine Asante Mungu maana yote haya ni kwa utukufu wako ili Wewe uogopwe na uheshimiwe. Baba Asante kwa wamajeshi wetu walio fia vitani hasa ile vita ya uganda.
Mungu Asante kwa ajili ya Mageneral wote wa jeshi la ulinzi wa Taifa la Tanzania ambao leo hatunao tena Mungu usiwasahau hawa walimwaga dam kwa ajili ya Taifa hili kwenye most softcated operation na Leo tuna Taifa la Tanzania.
Asante kwa kutupa Jemedari Hayati John Pombe Magufuli. Asante kwakuwa hakumaliza kazi lakini yote nikwa utukufu wa Mungu.
Mungu tuna kuomba 2025 ikawe yakipeke hasa tuna elekea uchaguzi 2025 tunakuomba Mungu. Ukawalinde wale watakao ktk ku vet Rais wa Tanzania. Mungu hii shughuli itakuwa nzito sana hasa ukizingatia nyakati tulizopo na ujasusi wakidola Africa. Mungu tuna hitaji watu wenye hofu na Mungu ndio wakamchaguwe Rais wa Tanzania.
Mungu tuna kataaa madaraka yakupeana either kwa jinsia, urafiki, undugu, ukabila au udini. Mungu watanzania tuna hitaji Rais na sio jinsia awe mume au mke basi awe na misuli kuliongoza hili Taifa, Mungu tuna hitaji Rais mwenye roho ya uthubutu na anye juwa kero na mateso ya watanzania nakutupatia majibu.
Baba wapo watu muhimu sana lazima wafike 2025 japo ni wazee sana ila tunakuomba uwape pumzi ya Uhai watuchagulie Rais wa Saba ndipo uwapende zaidi. Haya majabali yalio Baki ukayalinde kwa ustawi wa Taifa hili.
Mungu tunawaombe wakuu wa ulinzi na usalama na vikosi vyote maalumu ktk kazi maalumu project 2025Q (Utabiri) wape akili uwezo wa ajabu kufanikisha kazi walizo NAZO na mwisho kulipatia Taifa Rais wa Saba.
Kuna watu wangetamani Taifa hili kuwa Mali yao na uzao wao Mungu wangu Hilo lisitokee chini ya uwepo wako. Macho yetu yapo kwako macho yetu yapo Mbinguni usitupite wana wako wa Tanzania. [emoji120][emoji24][emoji120][emoji120][emoji120]
Kazi ishaanza Mkuu!Yeye kaleta maombi/sala ambayo kama Mungu atapenda ni Rais Dkt Samia na hii ni kwa sababu hata ile kauli ya Mzee Makamba ya kupitisha azimio la mgombea awe Rais Dkt Samia pekee halikupigiwa kura maana yake kuna vitu vingi nyuma ya pazia. Rais Dkt Samia alichojichanganya ni ile kudharau marahemu Dkt Magufuli huo mzimu utamtafuna sana watanzania siyo wajinga wanafuatilia na wanasikiliza na kuna mambo mengi sana alikosea, mfano tu hata response yake juu ya COVID 19, alilazimisha chanjo, na kujifanya alikuwa sahihi ila wazungu hao hao walikuja kumuumbua na yeye bila aibu aliendelea kukomaa, kiasi kwamba alijifanya eti Dkt Magufuli alikosea ila kwa ushahidi wa wazungu kukataa lockdowns na chanjo Dkt Magufuli ni mshindi na Rais Dkt Samia ni zero. Hivyo ni baadhi ya vitu vichache. Ila nafasi bado anayo ya kujirekebisha na kurekebisha. Sasa hivi wale wabaya wake wanataka kumuingiza kwenye issue za ushoga atoe tamko sasa sisi chawa tunasema aachane maana sheria zetu zipo wazi. Akijiingiza huko itakuwa tena mambo ya mjadala mjadala
Kama Mwendakuzimu Jiwe kaombewa hii Sala Automatic inakuwa Null and VoidMungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam na Uhai wao na Leo hatuna tena.
Tuna Kushukuru kwa viongozi shupavu na wali kuwa na uthubutu kulivusha Taifa hili ktk nyakati nzito na ngumu na kamwe hawakukata tamaa Asante kwa wakuu wamajeshi Asante kwa wakuu wa usalama wa Taifa Asante kwa wakuu wa Vyombo vya ulinzi shupavu walio sema we will die ila Taifa litasimama.
Mungu tunasema Asante kwa viongozi wakuu wakitaifa ambao leo hatunao tena Asante kwakuwa wao ndio chanzo cha Taifa hili leo. Asante kwa ajili ya Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Asante kwa ajili ya Mzee Abeid Karume, Asante kwa Haya Moringe Sokoine Asante Mungu maana yote haya ni kwa utukufu wako ili Wewe uogopwe na uheshimiwe. Baba Asante kwa wamajeshi wetu walio fia vitani hasa ile vita ya uganda.
Mungu Asante kwa ajili ya Mageneral wote wa jeshi la ulinzi wa Taifa la Tanzania ambao leo hatunao tena Mungu usiwasahau hawa walimwaga dam kwa ajili ya Taifa hili kwenye most softcated operation na Leo tuna Taifa la Tanzania.
Asante kwa kutupa Jemedari Hayati John Pombe Magufuli. Asante kwakuwa hakumaliza kazi lakini yote nikwa utukufu wa Mungu.
Mungu tuna kuomba 2025 ikawe yakipeke hasa tuna elekea uchaguzi 2025 tunakuomba Mungu. Ukawalinde wale watakao ktk ku vet Rais wa Tanzania. Mungu hii shughuli itakuwa nzito sana hasa ukizingatia nyakati tulizopo na ujasusi wakidola Africa. Mungu tuna hitaji watu wenye hofu na Mungu ndio wakamchaguwe Rais wa Tanzania.
Mungu tuna kataaa madaraka yakupeana either kwa jinsia, urafiki, undugu, ukabila au udini. Mungu watanzania tuna hitaji Rais na sio jinsia awe mume au mke basi awe na misuli kuliongoza hili Taifa, Mungu tuna hitaji Rais mwenye roho ya uthubutu na anye juwa kero na mateso ya watanzania nakutupatia majibu.
Baba wapo watu muhimu sana lazima wafike 2025 japo ni wazee sana ila tunakuomba uwape pumzi ya Uhai watuchagulie Rais wa Saba ndipo uwapende zaidi. Haya majabali yalio Baki ukayalinde kwa ustawi wa Taifa hili.
Mungu tunawaombe wakuu wa ulinzi na usalama na vikosi vyote maalumu ktk kazi maalumu project 2025Q (Utabiri) wape akili uwezo wa ajabu kufanikisha kazi walizo NAZO na mwisho kulipatia Taifa Rais wa Saba.
Kuna watu wangetamani Taifa hili kuwa Mali yao na uzao wao Mungu wangu Hilo lisitokee chini ya uwepo wako. Macho yetu yapo kwako macho yetu yapo Mbinguni usitupite wana wako wa Tanzania. [emoji120][emoji24][emoji120][emoji120][emoji120]
Mpaka 2035 Katiba hairuhusuMungu sio binamu Yako, Rais ni SSH Hadi 2035.
Whi nominated themMama sio muhuni Sana KULIKO waliomzunguka!
Kuna wahuni wamemzidi uhuni watamchomesha Sana na kuzua kambi mbili kali kama za msomali vs marope na yeye na wale jamaa wazito watampitisha asietarajiwa kati yao ambao ni Kati ya Ino wa Kaisho, Mabira, Kayanga, kaitambuzi n.k na mkono wa baunsa!!
Yote KHERI
Mfungo mwema!!
Hapiti hata kwa dawa mimi natabiri hata ccm wakimpitisha aslimia 50 haifiki watu wengi hawataenda kupiga kuraFomu ni moja tu, ya Rais Samia, kama ulivyo utamaduni [emoji16]
Watu wote duniani ni watu wa Mungu!, kasome kitabu cha Kutoka, uone jinsi ukatili uliofanyika kwa Wamisri na mataifa mengine yaliyoteketezwa bila kosa lolote ili Wana wa Israel watoke Misri!.Punguza upotoshaji. Mungu hawezi kuleta katili na mbaguzi kuwa Rais wa Tanzania. Acha kumhusisha Mungu na mambo ya kijinga. Nyie ndio wale mnaenda kuiba benki mkitoka salama mnadai Mungu amewasaidia. Unamwaga damu ya watu halafu unajidai Mungu amemtwaa, tofautisha Shetani na Mungu.