Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

Ungeuliza, azimio la MAKAMBA senior kuhusu kuwashawishi wajumbe kupitisha azimio kuwa mgombea ni Sa100 lilipuuzwa vp tungepata Nuru!!

Kwann wajumbe hawakuazimia Kwa pamoja juu ya mgombea 2025?

Akiba ya maneno ni muhimu.
Mkuu, Makamba Sr. wanavumilia tu hutuba zake kwakua ni mwandamizi, lakini anayoyasema mengi hayako serious, mzee wa watu jua limezama, Cognitively hana tofauti Mwinyi Sr.

Alichokipendekeza sio utaratibu wa chama. Lakini ukweli usiopingika na kuwa Samia alishamaliza mchakato wa 2025 siku aliyokabidhiwa uenyekiti wa chama. Yatahitajika 'mapinduzi' kumzuia.
 
Mama sio muhuni Sana KULIKO waliomzunguka!

Kuna wahuni wamemzidi uhuni watamchomesha Sana na kuzua kambi mbili kali kama za msomali vs marope na yeye na wale jamaa wazito watampitisha asietarajiwa kati yao ambao ni Kati ya Ino wa kaisho,mabira,kayanga,kaitambuzi n.k na mkono wa baunsa!!

Yote KHERI

Mfungo mwema!!
Yaani yule wa Lwambezi ndo ccm mtampitisha ?!? Yule mhuni wa bushangaro hadi nyaishozi ??? Thubutuuuuu [emoji23]
 
Mgombea wa CCM ni Samia Suluhu Hassan, kumbuka kwa utaratibu wa CCM huyo ni Mwenyekiti wa Chama!
Anapisha kiti chake tu pale anapojadiliwa yeye basi lakini kumbuka anakaimisha kiti hicho kwa mtu anayeaminika.Sasa utamkataje Rais Samia comes 2025!? Haiwezekani kabisa
 
Mkuu, Makamba Sr. wanavumilia tu hutuba zake kwakua ni mwandamizi, lakini anayoyasema mengi hayako serious, mzee wa watu jua limezama, Cognitively hana tofauti Mwinyi Sr.

Alichokipendekeza sio utaratibu wa chama. Lakini ukweli usiopingika na kuwa Samia alishamaliza mchakato wa 2025 siku aliyokabidhiwa uenyekiti wa chama. Yatahitajika 'mapinduzi' kumzuia.
Ok KAMBA ni Mzee,

Vp mwingine aseme kubadili mgombea labda mambo yaharibike sana kuanzia sasa hadi wakati huo?

Unadhani hakujua kwamba anayemuongelea ameshika rungu la Uenyekiti?

Msikariri, ilikuja kidharura. Wanachama washindanishwe kupata mgombea Bora, na ndo DEMOKRASIA.
 
Ndugu yangu utapata kiharusi bure, CCM wanao utamaduni wao, 2025 itachapishwa fomu moja tu ya mwenyekiti.

Hakutakuwa na kamati wala nini, mkutano mkuu utafanyika kama formality kupisha jina, na very likely atapata 100%! Kwenye ubunge pia wale wahafidhina wajiandae kufanya kazi nyingine, CCM inakwenda kuwa na bunge litakalopitisha mchakato wa katiba mpya.

Kituo kinachofuata ni 2030. Tofauti na hapo kabla mtumie mbinu za giza, ambazo ni very unlikely kufanikiwa.
Kama ni wa sasa au wa baadaye lakini uweke maanani anayekuja atakuwepo mpaka 2035...
 
Hii ni RUBBISH!! Awamu ya Saba inatoka wapi? Mwaka 2025 ni Samia MITANO tena. Nyie watu wa Magufuli futeni mawazo, kizazi chenu au watu wenye itikadi ya UKATILI, UUAJI, WIZI na UWONGO hamna nafasi kwa Tanzania yetu kamwe.
Yeye kaleta maombi/sala ambayo kama Mungu atapenda ni Rais Dkt Samia na hii ni kwa sababu hata ile kauli ya Mzee Makamba ya kupitisha azimio la mgombea awe Rais Dkt Samia pekee halikupigiwa kura maana yake kuna vitu vingi nyuma ya pazia. Rais Dkt Samia alichojichanganya ni ile kudharau marahemu Dkt Magufuli huo mzimu utamtafuna sana watanzania siyo wajinga wanafuatilia na wanasikiliza na kuna mambo mengi sana alikosea, mfano tu hata response yake juu ya COVID 19, alilazimisha chanjo, na kujifanya alikuwa sahihi ila wazungu hao hao walikuja kumuumbua na yeye bila aibu aliendelea kukomaa, kiasi kwamba alijifanya eti Dkt Magufuli alikosea ila kwa ushahidi wa wazungu kukataa lockdowns na chanjo Dkt Magufuli ni mshindi na Rais Dkt Samia ni zero. Hivyo ni baadhi ya vitu vichache. Ila nafasi bado anayo ya kujirekebisha na kurekebisha. Sasa hivi wale wabaya wake wanataka kumuingiza kwenye issue za ushoga atoe tamko sasa sisi chawa tunasema aachane maana sheria zetu zipo wazi. Akijiingiza huko itakuwa tena mambo ya mjadala mjadala
 
Nyie watu na mtoa mada muko very PRIMITIVE and traditional. Hii siyo Tanzania yenu, mawazo yenu hayana nafasi hapa. Kweli unaongelea mizimu karne hii??

Eti mzimu wa Magufuli utamtafuna!! Huo mzimu unakaa wapi kwanza? Na kama huo mzimu una nguvu kwanini uliacha Magufuli akafariki kama matendo yake yalikuwa mema?

Unaongelea COVID-19 kipumbavu sana. Yaani unashangilia vile Magufuli alikuwa hataki tijikinge? Angalia watu walivyo kufa kwa uzembe wake wa kutaka tujifukize. Na yeye na wapambe waje wakafyekwa na COVID-19 hiyohiyo.
 
Wewe ni idiot na zero brain. Hiyo chanjo ya Mama ilikusaidia nini??? Mbona USA wamesem chanjo haikutakiwa? Just wait mlio chanja wote you’re going to die kifo cha mende
 
Jamaa huwa ni mpuuzi mmoja tu anayejinasibu na JPM.

2025 hakuna uchaguzi wa ndani ni Samia pekee.
Yeye katoa maombi yake kwa mungu,kasema ikimpendeza,. Na wewe kima kakukosea nn?,au unataka kila anapotaka kuandika awe anakuuliza?,mbafu.
 
Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam na Uhai wao na Leo hatuna tena.
Tuna Kushukuru kwa viongozi shupavu na wali kuwa na uthubutu kulivusha Taifa hili ktk nyakati nzito na ngumu na kamwe hawakukata tamaa Asante kwa wakuu wamajeshi Asante kwa wakuu wa usalama wa Taifa Asante kwa wakuu wa Vyombo vya ulinzi shupavu walio sema we will die ila Taifa litasimama.
Mungu tunasema Asante kwa viongozi wakuu wakitaifa ambao leo hatunao tena Asante kwakuwa wao ndio chanzo cha Taifa hili leo. Asante kwa ajili ya Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere. Asante kwa ajili ya Mzee Abeid Karume, Asante kwa Haya Moringe Sokoine Asante Mungu maana yote haya ni kwa utukufu wako ili Wewe uogopwe na uheshimiwe. Baba Asante kwa wamajeshi wetu walio fia vitani hasa ile vita ya uganda. Mungu Asante kwa ajili ya Mageneral wote wa jeshi la ulinzi wa Taifa la Tanzania ambao leo hatunao tena Mungu usiwasahau hawa walimwaga dam kwa ajili ya Taifa hili kwenye most softcated operation na Leo tuna Taifa la Tanzania.
Asante kwa kutupa Jemedari Hayati John Pombe Magufuli. Asante kwakuwa hakumaliza kazi lakini yote nikwa utukufu wa Mungu.
Mungu tuna kuomba 2025 ikawe yakipeke hasa tuna elekea uchaguzi 2025 tunakuomba Mungu. Ukawalinde wale watakao ktk ku vet Rais wa Tanzania. Mungu hii shughuli itakuwa nzito sana hasa ukizingatia nyakati tulizopo na ujasusi wakidola Africa. Mungu tuna hitaji watu wenye hofu na Mungu ndio wakamchaguwe Rais wa Tanzania. Mungu tuna kataaa madaraka yakupeana either kwa jinsia, urafiki, undugu, ukabila au udini. Mungu watanzania tuna hitaji Rais na sio jinsia awe mume au mke basi awe na misuli kuliongoza hili Taifa, Mungu tuna hitaji Rais mwenye roho ya uthubutu na anye juwa kero na mateso ya watanzania nakutupatia majibu. Baba wapo watu muhimu sana lazima wafike 2025 japo ni wazee sana ila tunakuomba uwape pumzi ya Uhai watuchagulie Rais wa Saba ndipo uwapende zaidi. Haya majabali yalio Baki ukayalinde kwa ustawi wa Taifa hili.
Mungu tunawaombe wakuu wa ulinzi na usalama na vikosi vyote maalumu ktk kazi maalumu project 2025Q (Utabiri) wape akili uwezo wa ajabu kufanikisha kazi walizo NAZO na mwisho kulipatia Taifa Rais wa Saba. Kuna watu wangetamani Taifa hili kuwa Mali yao na uzao wao Mungu wangu Hilo lisitokee chini ya uwepo wako. Macho yetu yapo kwako macho yetu yapo Mbinguni usitupite wana wako wa Tanzania. 🙏😭🙏🙏🙏
Mungu alishafanya yake tarehe 17/03/2021
 
Jamaa huwa ni mpuuzi mmoja tu anayejinasibu na JPM.

2025 hakuna uchaguzi wa ndani ni Samia pekee.
Mama yetu na JPM ni kitu kimoja kwa yale mazuri aliyotenda JPM kwa Taifa hili , hakuna contradiction hap ccm nyiye toeni fomu mmoja ya mama ila sisi tutatoa zaidi ya moja ilikuweka uwanja mpana zaidi wa kidemokrasia ,,,
 
Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam na Uhai wao na Leo hatuna tena.
Tuna Kushukuru kwa viongozi shupavu na wali kuwa na uthubutu kulivusha Taifa hili ktk nyakati nzito na ngumu na kamwe hawakukata tamaa Asante kwa wakuu wamajeshi Asante kwa wakuu wa usalama wa Taifa Asante kwa wakuu wa Vyombo vya ulinzi shupavu walio sema we will die ila Taifa litasimama.
Mungu tunasema Asante kwa viongozi wakuu wakitaifa ambao leo hatunao tena Asante kwakuwa wao ndio chanzo cha Taifa hili leo. Asante kwa ajili ya Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere. Asante kwa ajili ya Mzee Abeid Karume, Asante kwa Haya Moringe Sokoine Asante Mungu maana yote haya ni kwa utukufu wako ili Wewe uogopwe na uheshimiwe. Baba Asante kwa wamajeshi wetu walio fia vitani hasa ile vita ya uganda. Mungu Asante kwa ajili ya Mageneral wote wa jeshi la ulinzi wa Taifa la Tanzania ambao leo hatunao tena Mungu usiwasahau hawa walimwaga dam kwa ajili ya Taifa hili kwenye most softcated operation na Leo tuna Taifa la Tanzania.
Asante kwa kutupa Jemedari Hayati John Pombe Magufuli. Asante kwakuwa hakumaliza kazi lakini yote nikwa utukufu wa Mungu.
Mungu tuna kuomba 2025 ikawe yakipeke hasa tuna elekea uchaguzi 2025 tunakuomba Mungu. Ukawalinde wale watakao ktk ku vet Rais wa Tanzania. Mungu hii shughuli itakuwa nzito sana hasa ukizingatia nyakati tulizopo na ujasusi wakidola Africa. Mungu tuna hitaji watu wenye hofu na Mungu ndio wakamchaguwe Rais wa Tanzania. Mungu tuna kataaa madaraka yakupeana either kwa jinsia, urafiki, undugu, ukabila au udini. Mungu watanzania tuna hitaji Rais na sio jinsia awe mume au mke basi awe na misuli kuliongoza hili Taifa, Mungu tuna hitaji Rais mwenye roho ya uthubutu na anye juwa kero na mateso ya watanzania nakutupatia majibu. Baba wapo watu muhimu sana lazima wafike 2025 japo ni wazee sana ila tunakuomba uwape pumzi ya Uhai watuchagulie Rais wa Saba ndipo uwapende zaidi. Haya majabali yalio Baki ukayalinde kwa ustawi wa Taifa hili.
Mungu tunawaombe wakuu wa ulinzi na usalama na vikosi vyote maalumu ktk kazi maalumu project 2025Q (Utabiri) wape akili uwezo wa ajabu kufanikisha kazi walizo NAZO na mwisho kulipatia Taifa Rais wa Saba. Kuna watu wangetamani Taifa hili kuwa Mali yao na uzao wao Mungu wangu Hilo lisitokee chini ya uwepo wako. Macho yetu yapo kwako macho yetu yapo Mbinguni usitupite wana wako wa Tanzania. 🙏😭🙏🙏🙏
Hahahaha Bado mpaka uokote makopo mwaka huu, mlidhani mtaendelea kupoteza watu kama kina Ben Saanane sio??

Ni hivi 2025 ni wagombea wawili tu Samia vs Chadema full stop wengine either muanzishe chama au mjiunge na vilivyopo ila sahauni kumpindua mwenyekiti wenu Hilo haliwezekani. Ilishindikana 2010 na 2020 ndio sembuse kwa Samia?
 
Mama sio muhuni Sana KULIKO waliomzunguka!

Kuna wahuni wamemzidi uhuni watamchomesha Sana na kuzua kambi mbili kali kama za msomali vs marope na yeye na wale jamaa wazito watampitisha asietarajiwa kati yao ambao ni Kati ya Ino wa kaisho,mabira,kayanga,kaitambuzi n.k na mkono wa baunsa!!

Yote KHERI

Mfungo mwema!!
Hivi huyo innocent ana kipi Cha maana Hadi kusema anafaa kuwa Rais? Dah hii nchi kuna wakati inatoa hasira sana. Nmeona umemtaja na Gwajima? Hivi tunatumika vigezo Gani kuchagua wagombea Urais?
 
JPM asingekufa Rais ,kama sio Kamati !!.
Hakuna Cha kamati, ni hofu ya Ukawa tu mkaona akigombea Membe au January vs Slaa/Lowassa basi mngekwisha kwa upepo ulivyokua.

JPM by then hakua na makando kando ya level ya wenzie, mind you hata bajeti zake wapinzani walikua hawazipingi!! So hakuna formula Wala kamati ni sababu Kulikua hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom