Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

Crazy
 
Una tabiri nyingi sana.
 
Au tayari mnataka mliamshe dude tena!!? Usikute tayari mpo kwenye mipango hata hamsemi😵😵😵

Kama ndio hivyo tumbisane mapema bhana sisi ilemambo ya bulresa bandi hatutaki
 
Usinitishe bro ! Na kama aliyejuu ndo alimtwaa hongera.kina azori na bensaanane wao hawakutwaliwa n'a aliye juu walitwaliwa n'a maiti

Msilazimishe huzuni ya kikundi iwe ya taifa sisi hatumtaki na tulifurahia
 
Usinitishe bro ! Na kama aliyejuu ndo alimtwaa hongera.
Sio nakutisha bali nakupa facts, tuu kuwa ni ALIYE JUU MDIYE alimleta, na akamtwaa. Ni HUYO HUYO NDIYE aliyemleta Mama!. Na baada ya kumtwaa saa hizi wako naye kwake mbinguni peponi kwenye raha ya milele!. Ni YEYE ndiye ametuletea Samia na ndiye ataamua kama Samia anaendelea hadi 2030!.
kina azori na bensaanane wao hawakutwaliwa n'a aliye juu walitwaliwa n'a maiti
Kwa vile wote wawili walipotea, no one knows what happened to them na kama wapo au walitwaliwa, please don't assume!.
Msilazimishe huzuni ya kikundi iwe ya taifa sisi hatumtaki na tulifurahia
Mtu yoyote kufurahia kifo cha binadamu mwingine yeyote, ni ushetani!.
P
 
Ntajibu ifuatavyo
1.aliemleta ni uhakika aliejuu ila aliemtwaa ni mjadala .jiwe alimtwaa saanane n'a wale wa viloba pwani .kaini alimtwaa abel
2.no one know? Hahaha saanane alihoji phd.acha kujitia uchawa bwana njaa(mayala) wote tunajua yesu alikufa kwa mamlaka ya pontio pilato.kama walivotekwa roma n'a kuliwa ndogo ,tundulisi kwa matakwa ya jiwe pilato
3.wana waisrael alipokufa goriath walilia kwa huzuni ?? N'a sisi kama waisrael hatukupaswa zika ilipaswa tukate kichwa
 
CCM wanao utamaduni wao, 2025 itachapishwa fomu moja tu ya mwenyekiti.

Hakutakuwa na kamati wala nini, mkutano mkuu utafanyika kama formality kupitisha jina, na very likely atapata 100%!
 
Ungeuliza, azimio la MAKAMBA senior kuhusu kuwashawishi wajumbe kupitisha azimio kuwa mgombea ni Sa100 lilipuuzwa vp tungepata Nuru!!

Kwann wajumbe hawakuazimia Kwa pamoja juu ya mgombea 2025?

Akiba ya maneno ni muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…