Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

Nashangaa kimya SIJUI imeishia wapi!!?
Ni mojawapo ya moves ambazo ni za ajabu sana. Kwamba badala ya watoto kulelewa mashuleni na walimu ambao wako chini ya mikono ya Serikali; wawe wanalelewa majumbani na ma-house girl ambao wanaweza kuwanyonga na kukimbia kusikojulikana. Kuna hujuma zingine ambazo angalau akili inatakiwa iwe inatumika
 
Ukubali ukatae watu hawataumiza kichwa tunajua Rais ni mmoja tu Samia Suluhu Hassan maana amefanikiwa kuwateka watanzania wote kupitia maendeleo yao anayoyafanya Tanzania kwaiyo usijisumbue Maana Mungu ndio amemleta Rais Samia kwetu kwa mapenzi yake mwenyewe
 
Unataka kusema mama Samia hagombei tena? Au hata jina lake Mungu akilipa kibali sawa tu?
Rais Samia Suluhu lazima agombee na kwa habari nazozisikia atapita bila kupingwa maana yani hapa inabidi tuwaze uchaguzi wa 2030
 
Chanjo inaua tangu lini?. Kupitia chanjo Dunia imerudi kwenye normal life. Na rate ya maambukizi yakapungua. Halafu marekani gani imesema hivyo?.
Chanjo inavimelea vinavyoharibu dna yenye kutoa wanaume wasio na homoni za kiume haina madhara kwa mchanjwa ila ina madhara kwa uzao wake
 
Aiseee🤐📜
 
Mkuu hii issue imekaaje,ni kweli TISS hawajui?
Your browser is not able to display this video.
 
Kazi ishaanza Mkuu!
Your browser is not able to display this video.
 
Kama Mwendakuzimu Jiwe kaombewa hii Sala Automatic inakuwa Null and Void
 
Whi nominated them
 
Watu wote duniani ni watu wa Mungu!, kasome kitabu cha Kutoka, uone jinsi ukatili uliofanyika kwa Wamisri na mataifa mengine yaliyoteketezwa bila kosa lolote ili Wana wa Israel watoke Misri!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…