Fahamu kuwa Central ina kura 5.1 million na Rift Valley kwa Kalenjins ina kura 3.0 million, kwa hiyo Uhuru ana opening balance ya kura 8.1 million kutoka ukanda wa Uhuru na Ruto. Kosa kubwa Mhe Raila amefanya dhidi ya Abaluhya ni kuandamana akisisitiza Chiloba na Chebukati ambao ni Abaluhya kutoka kwetu Bungoma na Kakamega, wafukuzwe kazi IEBC wakati analinda wale IEBC kutoka kwake Nyanza, ndiyo maana viongozi kutoka Western Region sehemu ya Abaluhya wakiongozwa na Spika wa Seneti Mhe Ken Lusaka na spika wa zamani Marende wameweza kimega wengi huko kumpigia Uhuru kura. Pia usisahau Raila amedai wale wajumbe wawili wa Somali kwenye IEBC wafukuzwe kwa hiyo hapo tayari kishawaloga Wasomali wa Norrh Eastern kule hana kitu. Mwisho Maasai wameshutuka wote wa Narok na Kajiaodo wengi wao washarudi Jubilee!! Ndiyo maana Hon Raila angaogopa kwenda kwenye sanduku la kura kwani anajua yake yamekwisha, na historia yake inafia hapo kwenye boksi la kura 26/10/2017. Ninauhaki Raila hawezi kamwe kushinda urais I know how tyranny of numbers work in Kenya. Sisi tunaombea amani Kenya, Mungu atume malaika wake kila kona ya Kenya wakati wale waliokuwa wanatumia nyoka 2013 mwaka huu wanatumia nyuki(bees), learn the difference!!!!!!