Utabiri: Odinga anaenda kushinda Urais

Utabiri: Odinga anaenda kushinda Urais

Bado ni too close to call, ila uhuru kwa kuongea pumba baadhi wanahamisha kura zao na akiendelea kuongea pumba Urais anaweza kuukosa. Jana nilikuwa na Wakenya walidai mara ya kwanza walimchagua Uhuru lakini October 26 watampigia Raila. Utabiri wangu bado Uhuru anarudi madarakani ila aache kuropoka pumba.
 
mkuu umeelewa hoja yangu?? nmeuliza mnasema odinga hana namba je angewezaje pata 7 million??

huyo namwamba hata kura hajafika 10 thousand ndio ataweza mfunika wetangula na mudavadi???

isaac ruto hakuwa na impact NASA hakuleta kura walizokubaliana ndio maana hawajalia alivyoondoka he is a loser so he won't add anything big rather than few thousand votes not millions as u claim

pia usisahau waluo waluhya abagusi kamba make up 40% of Kenya achana na coast pia north kma wajir raila bado anasupport hivyo its all about turnout if raila makes sure 90% turnout of his strongholds Kenyatta is going home

Fahamu kuwa Central ina kura 5.1 million na Rift Valley kwa Kalenjins ina kura 3.0 million, kwa hiyo Uhuru ana opening balance ya kura 8.1 million kutoka ukanda wa Uhuru na Ruto. Kosa kubwa Mhe Raila amefanya dhidi ya Abaluhya ni kuandamana akisisitiza Chiloba na Chebukati ambao ni Abaluhya kutoka kwetu Bungoma na Kakamega, wafukuzwe kazi IEBC wakati analinda wale IEBC kutoka kwake Nyanza, ndiyo maana viongozi kutoka Western Region sehemu ya Abaluhya wakiongozwa na Spika wa Seneti Mhe Ken Lusaka na spika wa zamani Marende wameweza kimega wengi huko kumpigia Uhuru kura. Pia usisahau Raila amedai wale wajumbe wawili wa Somali kwenye IEBC wafukuzwe kwa hiyo hapo tayari kishawaloga Wasomali wa Norrh Eastern kule hana kitu. Mwisho Maasai wameshutuka wote wa Narok na Kajiaodo wengi wao washarudi Jubilee!! Ndiyo maana Hon Raila angaogopa kwenda kwenye sanduku la kura kwani anajua yake yamekwisha, na historia yake inafia hapo kwenye boksi la kura 26/10/2017. Ninauhakika Raila hawezi kamwe kushinda urais I know how tyranny of numbers work in Kenya. Sisi tunaombea amani Kenya, Mungu atume malaika wake kila kona ya Kenya wakati wale waliokuwa wanatumia nyoka 2013 mwaka huu wanatumia nyuki(bees), learn the difference!!!!!!
 
Kwani nyinyi huwa mnasikiza hizi kesi kivipi? Je unaweza elezea sisi uamuzi wa kila jaji wa mahakama ya SCoK kuhusiana na uchaguzi Mkuu wa Kenya?
Kiswahili hiki mkuu sikielewi, nadhani wewe unatoka Kikuyu kule ndani kabisa.
 
Fahamu kuwa Central ina kura 5.1 million na Rift Valley kwa Kalenjins ina kura 3.0 million, kwa hiyo Uhuru ana opening balance ya kura 8.1 million kutoka ukanda wa Uhuru na Ruto. Kosa kubwa Mhe Raila amefanya dhidi ya Abaluhya ni kuandamana akisisitiza Chiloba na Chebukati ambao ni Abaluhya kutoka kwetu Bungoma na Kakamega, wafukuzwe kazi IEBC wakati analinda wale IEBC kutoka kwake Nyanza, ndiyo maana viongozi kutoka Western Region sehemu ya Abaluhya wakiongozwa na Spika wa Seneti Mhe Ken Lusaka na spika wa zamani Marende wameweza kimega wengi huko kumpigia Uhuru kura. Pia usisahau Raila amedai wale wajumbe wawili wa Somali kwenye IEBC wafukuzwe kwa hiyo hapo tayari kishawaloga Wasomali wa Norrh Eastern kule hana kitu. Mwisho Maasai wameshutuka wote wa Narok na Kajiaodo wengi wao washarudi Jubilee!! Ndiyo maana Hon Raila angaogopa kwenda kwenye sanduku la kura kwani anajua yake yamekwisha, na historia yake inafia hapo kwenye boksi la kura 26/10/2017. Ninauhaki Raila hawezi kamwe kushinda urais I know how tyranny of numbers work in Kenya. Sisi tunaombea amani Kenya, Mungu atume malaika wake kila kona ya Kenya wakati wale waliokuwa wanatumia nyoka 2013 mwaka huu wanatumia nyuki(bees), learn the difference!!!!!!
Abaluhya wanaenda na Lusaka?? acha utani mkuu yaani waluhya ndio wanamsikiliza Lusaka na wandere au wamalwa??? get serious mkuu!!

kma kuna tyranny of numbers kivp gap ilikuwa 1 million?? hizo capital za eight million ila husemi odinga alikuwa na 7 million??

hakuna mmasai amehama hao walishindwa wakasalimu amri kupata vyeo ila kma ni kura bado umasaini raila ana support bado wasamburu bado abakhusi bado kamba luhya luo mpka turkana hadi pwani yote na usisahau Somali bado raila ana nguvu hasa wajir hivyo ni 50/50

all in all its about turnout ila kma numbers NASA wanazo
 
It is just a matter of three weeks you shall see the ushindi wa Uhuru, possibly you don’t know Kenyan history!GEMA votes plus Kalenjins votes number 8.9 million. You have noted that NASA flag bearer has been on war with all Somali and Luhya IEBC staff while protecting his own from Kisumu, in addition to this he recently nominated three staff from his hometown to be members in the Kilifi county in the Pwani region instead of choosing from the indigenous! Kalonzo should ditch Raila and join the winning Jubilee and thereafter create a Premier Post for Kalonzo as tyranny of number is in favor of Jubilee the very notion rather idea Baba had for Isaac Ruto and Mudavadi which has failed. Kama huwezi kuwashinda jiunge nao(If you cannot defeat them join them) uweze kufurahia keki ya taifa kwani 2022 Kalonzo has no chance if he remains in NASA. Better late than never man! Understand that in politics no permanent enemy(kwenye siasa kamwe hakuna uadui wa kudumu).
 
sasa ambacho sielewi kma unadai uhuru had the numbers how comes the gap was just 1 million?? Hivi kwanni unasahau kuwa luhya luo kamba abakhusi make up 40% votes kutokana na data za IEBC hapo bado coast na kaskazini mkuu uhuru hana numbers usipotoshe watu the issue is about tunout hao NASA turnout ikiwa kubwa ndio kifo cha wakikuyu kuitawala kenya

Pia usidanganye kuwa musyoka akienda jubilee ndio atashinda 2022!!yaani mkikuyu amuachie mkmba NEVER hapo nakuhakikishia ruto atajiunga na kina musyoka wakipambana na mkikuyu wa jubilee

Anyway all in all nawatakia uchaguzi mwema nawapenda sana wakenya
 
Labda atashinda njaa, lakini sio uraisi
 
Kenya kuna ukabila sana. Wakikuyu ambao ni wasomi sana, wanapesa na wanamiliki aridhi kubwa hawako tayari kutawaliwa na wajaruo. Odinga is wasting his time. Watafanya any mbinu Wakikuyu na makabira rafiki washinde.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakikuyu hawajawai kua wasomi Kenya abadan,wasomi tangu enzi za mkoloni ni wajaluo nijuavyo mimi,tena machifu waluo wa jadi waliwalazimisha watu wao kuukumbatia elimu pamoja na mienendo za kizungu kama mavazi na kadhalika.Wakikukuyu ni wizi wizi tu na wapenda njia ya mkato,hawapendagi haki.
Naona uzi huu umevamiwa na wakikuyu.

ova!
 
Mkuu mleta uzi naomba usilike hii post yangu, uchaguzi ukifanyika halafu matokeo yakitoka akashinda Odinga, njoo tena uje ulike hii post kama ishara ya ndoto yako kutimia
Unajua ukiwa dreva mzuri wa bajaji ( ukawa unafuata sheria za Barabarani vizuri haimaanishi basi hata ukipewa gari utaweza kuendelea. Raila anafaa awe mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu na sio kuongoza nchi. Maana ana deserve kabisa maana ni mpiganaji na huwa akiamua jambo basi anafanikiwa.
 
Bado tunasubiri utabiri wa mleta uzi utimie aje alike post yangu.

Mkuu uko sahihi kabisa juu ya Odinga
 
Back
Top Bottom