UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

20221013_160738.jpg
20221013_155736.jpg
 
Simba akishindwa kumfunga Yanga hii mechi itakuwa ni timu ya hovyo sana ma dhaifu.
 
Nimeitazama mechi tayari..Simba ameshinda goli moja lililopatikana dakika tano za mwisho..kikubwa point tatu.
 
Declaration of interest.

Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu.

Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja.

Jambo lolote lile liwe la heri ama shari huanzia rohoni na ndipo hudhihirika mwilini. Mechi ya Simba na Yanga imechezwa leo kwenye ulimwengu wa roho, na Simba imeshinda kwa bao 3 na Yanga wamepata 0.

Hongereni sana Mshana Jr, OKW BOBAN SUNZU , GENTAMYCINE na wana Simba wengine.

Yanga wenzangu tuanze kujiandaa tu kisaikolojia kukabiliana na huu ukweli mchungu.
Anza kuandaa uzi mwingine kuhusu kumfukuza Matola kwani kipigo hakiepukiki.
 
Declaration of interest.

Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu.

Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja.

Jambo lolote lile liwe la heri ama shari huanzia rohoni na ndipo hudhihirika mwilini. Mechi ya Simba na Yanga imechezwa leo kwenye ulimwengu wa roho, na Simba imeshinda kwa bao 3 na Yanga wamepata 0.

Hongereni sana Mshana Jr, OKW BOBAN SUNZU , GENTAMYCINE na wana Simba wengine.

Yanga wenzangu tuanze kujiandaa tu kisaikolojia kukabiliana na huu ukweli mchungu.
Badilisha nafasi ya tatu owe sifuri na sifuri owe tatu.Majina yaache kwenye nafasi zake🤸🤸
 
Back
Top Bottom