Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

N'golo kante= Rodri+Gundogan+Kelvin de bruyne
Tukutane Istanbul .
Unawaza final wakati Madrid yuko hapo nje kwenu anawasubiri, ile game ya kwanza second half Madrid hakucheza akijua mngeweza muotea ya ugenini, leo ndio mtajua Madrid ni nani.

Ramos akiwepo kwenye timu wale jamaa ndio huwa vichaa zaidi, full mibangi, ogopeni sana corner na faulu za Madrid Ramos atawapiga vichwa hafai.
 
Halafu. Muda huo wanafanya hayo yote N'golo kante atakuwa wapi?
 
Fainali bila ya KDB sijui nini kitatokea, lakini bado naipa nafasi city! Pep ni fundi sana wa mifumo, na false nine mara nyingi zimekuwa zinambeba... jana alitumia false 9 mbili ambazo ziliwavuruga kabisa kina Kimpembe na Maquinous
 
Halafu ikawaje ?
 
We mganga KULIKONI?
 
kwani KDB hatacheza final? zile kadi hazifutwi kwa game inayofata?..hebu nipe ufafanuzi mkuu
ili usicheze match inayofuata lazima uwe na kadi za njano tatu mfululizo ..

Sasa kdb ana kadi mbili tu ...


Ndio maana alipopewa ile kadi hawakuandika "misses next match " kwa iyo final kdb yupo bila wasiwasi
..



Hao Chelsea wanajua moto wake ndio maana wanajipa moyo saizi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…