Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Nyie mtakua mnafwatilia matokeo tu,mpira huwa hamuangalii kabisa

Kwahiyo kwa ile game ya kwanza ilivyokua ulidhani Madrid angekua na kipya leo, Ramos nilimuona alivyopata yellow tu
 
Hivyo basiasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.

Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.

Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.
Ndio maana mhindi anawatandika kila siku kwenye betting
 
Hahaha yaani match ya Final ya FA alafu eti hakuwa serious nayo ??!!

Huu ushabiki utawaisha lini hahahaha haya sasa hao hapo wamekutana kaimalizeni sasa game first half.

Yaani mtu upambane hadi final alafu eti usiwe serious na mechi unachekesha sana mkuu dooh
 
Tatizo umekariri hata hufuatilii form mpya!! Huyo man City kafungashwa virago na Chelsea kombe la FA!! Hana ubavu wa kuinyanyasa Chelsea! Shilingi yangu naiweka kwa Chelsea!
Ndio utajua hujui, Chelsea hiyo game ni underdogs wanaojua mpira wote wanajua hili.
 
Karibu mjini. Rotation ya kikosi ndio iliwaua City kwenye ile game, first eleven ya City inamtandika Chelsea vizuri kabisa.

Wewe hata Namungo uliwaamini Confederations!, ila kilichowakuta siri yako.
 
Kante ndio nini mangi, subiri siku ifike ujionee.
Na kweli imewadia na kante magoli yote yameanzia kwake na kuwafurumusha Madrid Ramos anageuzwa tu ka mtumba ivi na captain America purisic sjui angeingia mwanzo ingekuaje na uzee hule goli kwanza linafugwa kakalishwa chin la pili purisc ana potisha pasi mbele yake anapiga magoti aisee mkongwe kapatikana.
 
Nyie mtakua mnafwatilia matokeo tu,mpira huwa hamuangalii kabisa

Kwahiyo kwa ile game ya kwanza ilivyokua ulidhani Madrid angekua na kipya leo, Ramos nilimuona alivyopata yellow tu
Hao ndio nime-prove wamezeeka, ngoja the Citizens wakawafundishe mpira.
 
Uzee ule na hakuwa na match fitness, sasa Chelsea wajiandae kupaki basi haswa.
 
Uzee ule na hakuwa na match fitness, sasa Chelsea wajiandae kupaki basi haswa.
Man city tulimpiga fa na sisi ndio tulioposses game kitu ambacho unapaswa kujua kila game inamahitaji tofauti game approach ya game ya 1 kwanza dhidi ya Madrid tofauti na hii kwa sababu Tuchel alijua Madrid atakuja kushambulia Sana na ndio akaanda hii approach ya hii game
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…