Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Man city haiwezi kumtoa PSG semi Final, kama mliweza kutepeta kwa Borrusia Dortmund ambayo karibu kikosi kizima ni under twenty mtaweza kupambana na kikosi imara kama PSG ?
Mtu tumempiga nje ndani aggregate ya 4-2 ..

Unakuja kusema nini ..

Hivi mpira unaangalia wewe nyang'ao ?

Ninawasiwasi na jinsia yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I bet on R Madrid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi gani ,dakika 90 unazielewa lakini
 
Madrid na Man city final.. Mmoja wao bingwa

Roma na Villarreal final.. Villareal bingwa
 
Mechi ya man city vs psg,Kuna mtu anaenda kudhalilika kwa bao nyingi.Tusubiri
 
Kumbuka kuna mchango wa huyu dogo anaitwa Vini JR ambae kwa sasa akili yake imekomaa na ameacha utoto aliokua nao.
Vini jr huyu huyu ambae game ya barca first touch zake nyingi zilikuwa mbovu na pasi zisizofika tunaposhambulia, huyu dogo game ya liver pia kazingua. Hazard wa chelsea angekuwa ndio wa madrid na angecheza game ya barca tungeshinda nyingi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…