Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Pole sana usilolijuwa....
Mkuu hii Ni ndoto, Kuna sehemu nimeandika Sina hakika na niliyoyaona Ila .......

Nimewaachia ninyi mtoe tafsiri ya ndoto yangu. Mwisho nikasema Kama Ni kweli tusubiri media confirmation.
Mwisho wa UTABIRI.
 
Labda kuna Kitu kati hapo kabla Uchguzi?
 
Zanzibar ni kitamaduni ni kama nchi ya ki-cheif/ku-sultani na haijawahi kutokea sultani mwanamke.

Ila Paskali kama logic yako ya Dr. Hussein kuchukua Urais wa Zenji 5 years then baada ya Mkulu wa sasa ahamie huku; mantiki inagoma ila hakuna kisichowezekana chini ya jua.

Ila muato ndoto nae anaweza kuwa na sense, kama ilivyokuwa 2010 kwenye kinyang'anyiro cha Uspika wa Bunge, CC ikasema safari hii mwanamke then Mana Anne Makinda akapenyea hapo. Kwa muktadha huo VP ni mkubwa ki-hierach ila huenda Mama Samia akapata hadhi ya kutembea kwenye red carpet, kupigiwa mizinga na kuandamana na Kanali kama mpambe. Anaweza kukubali kushuka ki-hierach ila akatamani kuzungukwa na kuwa boss wa visiwa wa marashi ya pemba.

Siku 60 kuanzia leo kitakuwa kishaeleweka na tutakuwa tunawatakiwa kila la kheri wazenji kwenye uchanguzi, maana anaepenya kwa dirisha la CCM bila shaka mfumo hupelekea kuchaguliwa na kutangazwa na maisha yakaendelea.
Wenye turufu hapa ni CC na NEC; kinachobakia huku, huwa ni formality
Chanzo Cha Makinda kuwa spika ilitengenezwa option ngumu ya kumkwepa Samweli Sitta bila kuonekana chama kimemuonea.

Pili ilimfanya akose maneno kwa sababu neno lolote ambalo angelilitamka angeonekana Ana nongwa na cheo na pili Ni mbaguzi hapendi wanawake wapewe heshima kubwa na aghalabu angeliambiwa anapenda mfumo dume.

Lolote linawezekana let's wait.
 
Subiri GOGOKI ataupdate maana anafatilia kikao cha KISIWANDUI......Ila kasema kwamba Mgombea Wa Meko anapigwa Chini ,Sasa sijajua kama mgombea wa Meko ni Dr Hussein Mwinyi au mwingine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mh huko mie simo, Mambo ya kutafutana muhali Tena, nimekuelewa vizuri tu.
 
Tunawanyanyasaje hao wazenji?
Wametaka nini tumewanyima deni la umeme lenyewe tumewasemehe
Deni la umeme lazima muwasamehe,wao wana madeni makubwa wanakudaini, lakini kwa sababu wao ni wastaarabu, kwavile wanakuchukulieni kama ndugu,wanakuwa hawapigi kelele Sana kuhusu madeni wanayokudaini..

Hivi unajua kuwa Benk of Tanzania (BOT) imeundwa kwa Pesa za Zanzibar,..

mkawaahidi Wazanzibari kuwa mtawalipa faida kwa kila kinachopatikana kutoka BOT

Je mnawalipa?je unajua ni kiasi gani Zanzibar inaidai Tanganyika?..

KuhusuDeni la umeme, Watanganyika hawajawasamehe Wazanzibari Deni hilo,isipokuwa wanapunguza deni wanalodaiwa..

Kwa wale? Wasiofahamu nini kinaendelea ndio,mnaambiwa kuwa Zanzibar imesamehewa deni la Umeme, lakini ukweli sio huo
 
Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.

Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.

Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa na haiba inayorandana Kila pahala. Wasomi Hawa wawili wa kiwango cha juu wanazidiana sifa moja tu.
Mmoja ameishi na kukulia Zanzibar na mwingine ameishi na kukulia Dar es Salaam.

Wanaume hao Ni Profesa Makame Mbarawa Mnyaa na Dkt. Hussein Mwinyi.

Naona ukungu mzito watu wengi wanabishana hapana huyu hajakulia na kuishi huku iweje tumkabidhi jukumu zito hivi wakati ana kila nasaba na watu wa bara. Safari hii hatukubali lazima tufanye tutakavyo sisi na sio wao.

Naiona busara kubwa ikitumika kumaliza mgogoro huu kwa turufu ya jinsia. Unazuka mjadala kama ndio hivyo basi wakose wote na akae mwanamke ili kuondoa dhana ya upendeleo na visa vya nani ni nani.

Namuona mwanamke mwenye sauti ya mamlaka na akitokea kwenye kiti chenye maamuzi mazito akikubali kubeba gharama za kuinusuru chama na mpasuko. Namfananisha na Samia Suluhu Hassan. Nyota yake Ni Kali sana na ndiye anayewatuliza wanaume hawa wawili kwa kuvaa kiatu cha kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM huko visiwani Zanzibar.

Ndoto yangu haiishii hapa, namuona Mwenyekiti na kamati yake wanajifungia kwa muda na hawa wanaume wawili Kisha wanakubaliana kitu.

Siku chache baadaye nawaona wanaume hawa wanaongozana hadi Dodoma.

Namuona Mwenyekiti wa wa CCM anapitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu kuwa ndiye mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Nawaona wajumbe wa CCM wanaenda chemba kunong'onezana na kisha Mwenyekiti wa muda anamtangaza Dr. Hussein Mwinyi kubeba bendera ya Chama kama Mgombea mwenza wa Magufuli.

Ndoto inaendelea nawaona wajumbe wakimtaja Profesa kama Makamu Rais wa Zanzibar.

Nawaona wakitoka na nyuso za furaha Kila mmoja.

Usingizi unakatika nashtuka najiuliza ni kweli au ni mawaa ya ndoto.

Ngoja tusubiri media confirmation, mimi nishamaliza ndoto yangu.
Boombaclaat
 
Chanzo Cha Makinda kuwa spika ilitengenezwa option ngumu ya kumkwepa Samweli Sitta bila kuonekana chama kimemuonea.

Pili ilimfanya akose maneno kwa sababu neno lolote ambalo angelilitamka angeonekana Ana nongwa na cheo na pili Ni mbaguzi hapendi wanawake wapewe heshima kubwa na aghalabu angeliambiwa anapenda mfumo dume.

Lolote linawezekana let's wait.
Walio kwenye pannel ya usaili, wakiamua kwa pamoja "kula kichwa", huwa wanatafuta justifiable grounds kufanya hivyo. Mzee Malecela na EL wanajua nini JKN had a justifiable reason "kuwakata".

Zanzibar, kuna interest za nani Mkulu anamtaka ili amsaidie ku-govern ili malengo yake yafikiwe. Wakati huohuo kuna watu wanaotaka kama Karume jr alivyopiganiwa 2000 ili nae aje are-reciprocate 2005, for a good reason Bilal ambae alikuwa most qualified kuliko Karume Jr, "alikatwa".

Sisi huku nje tutachanga sana karata, ila walio ndani kwa "depth" ya taarifa toka kwenye "vyombo"; nao wana interest kwanini huyu na si huyu.

Dr. Hussein and Prof. Makame kama ni "electable" kama wasomi wasemavyo is well and good; ila nina shauku ya kuona nchi zetu hizi zinahama kwenye kuangalia who is electable by just giving out good speech au anakubalika kiasi gani; it high time tuwe na watu wenye vision ya kubadili uchumi wa nchi zetu kwa kuweka mazingira wezeshi ili biashara zizaliwe na kutengeneza ajira kwa kupunguza imports za nini kinaweza kuzalishwa ndani na kuongeza exports ili tusibaki kuwa na viongozi wanaotoa good speech, yet hawana vision ya kututoa kwenye kutembeza bakuli day im day out kwa watawala/wakoloni/slave masters wa zamani.
 
Deni la umeme lazima muwasamehe,wao wana madeni makubwa wanakudaini, lakini kwa sababu wao ni wastaarabu, kwavile wanakuchukulieni kama ndugu,wanakuwa hawapigi kelele Sana kuhusu madeni wanayokudaini..

Hivi unajua kuwa Benk of Tanzania (BOT) imeundwa kwa Pesa za Zanzibar,..

mkawaahidi Wazanzibari kuwa mtawalipa faida kwa kila kinachopatikana kutoka BOT

Je mnawalipa?je unajua ni kiasi gani Zanzibar inaidai Tanganyika?..

KuhusuDeni la umeme, Watanganyika hawajawasamehe Wazanzibari Deni hilo,isipokuwa wanapunguza deni wanalodaiwa..

Kwa wale? Wasiofahamu nini kinaendelea ndio,mnaambiwa kuwa Zanzibar imesamehewa deni la Umeme, lakini ukweli sio huo
Kama kweli BoT imeundwa kwa pesa toka visiwa vya karafuu, hili lingekuwa lishasikika siku nyingi kama sehemu ya kero za muungano.
Kwa jinsi Wazanzibar wanajivunia kwa Wazanzibar kuliko sisi tunavyojivunia kwa Watanganyika na kujiona simply Watanzania bara, wangekuwa wametoa shekels kuanzisha central bank wangekuwa wanachonga sana.
 
Dr Hussein mwinyi presidaa,Le profesee mbarawa makamo wa pili wa raise.mchezo Kwisha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Deni la umeme lazima muwasamehe,wao wana madeni makubwa wanakudaini, lakini kwa sababu wao ni wastaarabu, kwavile wanakuchukulieni kama ndugu,wanakuwa hawapigi kelele Sana kuhusu madeni wanayokudaini..

Hivi unajua kuwa Benk of Tanzania (BOT) imeundwa kwa Pesa za Zanzibar,..

mkawaahidi Wazanzibari kuwa mtawalipa faida kwa kila kinachopatikana kutoka BOT

Je mnawalipa?je unajua ni kiasi gani Zanzibar inaidai Tanganyika?..

KuhusuDeni la umeme, Watanganyika hawajawasamehe Wazanzibari Deni hilo,isipokuwa wanapunguza deni wanalodaiwa..

Kwa wale? Wasiofahamu nini kinaendelea ndio,mnaambiwa kuwa Zanzibar imesamehewa deni la Umeme, lakini ukweli sio huo
Unaweza kuthibitisha madai yako?
 
Mama Samia Suluhu Hassan ndiyo Turufu pekee ya CCM kwa Tanzania Bara na ninachojua tu ni kwamba yupo hapo Strategically kabisa. Kama kuna Mtu ambaye amebeba Imani Kubwa ya Kundi Kubwa la Wapiga Kura nchini Tanzania ambalo ni Kundi la Wanawake basi ni Mama Samia Suluhu Hassan. CCM hawatokuwa Wapumbavu leo hii Kumuachia Mtu ambaye aliwabeba Kijinsia na bado hata kwa mwaka huu wa 2020 atawabeba tena ambaye ni Mwanamama Makini Samia Suluhu Hassan. Na kama kuna Mtu ambaye japokuwa Watanzania wengi wamekuwa wakionyesha Kukereka nae Rais JPM kutokana na Mapungufu yake baadhi basi ni uwepo wa huyu Mama Samia Suluhu Hassan ( Grisi ya Kulainisha Chuma chenye Moto mkali ) ndiyo unawatia Moyo na Kuendelea Kukipenda na Kukiamini Chama Cha Mapinduzi. Kwa huko Isles ( Zanzibar ) hakuna Ubishi kuwa Dkt. Hussein Mwinyi atakuwa Rais Wao ila najua na hata huko pia CCM wataiga Wenzao huku Bara kwa Kumteulia Mgombea Mwenza wake ambaye atakuwa ni Mwanamama ( Mwanamke ) ili aweze Kuiteka Mioyo ya akina Mama wengi wa huko Kisiwani Zanzibar ambao nao kama huku Tanzania Bara ndiyo Kundi Kubwa na linaloongoza kwa Wapiga / Upigaji Kura.
 
Ushauri wa bure mwaka wa uchaguzi-think act like a criminal. CCM are crooks.
Adapt a criminal mindset to deal with crooks.
 
Du, Mkuu mbona mtazamo wako ni hasi!

Je, unajua kuwa tamthilia hutungwa kuwakilisha maisha yaliyotokea au yatakayotokea! Vivyo hivyo hata sanaa zingine km nyimbo hutungwa kutokana na maisha halisi au kutabili yatakayotokea.
Nafahamu.
Lakini kwa kukusahihisha huwa haizitungwi kuwakilisha mambo yatakayotokea hilo halipo! Ni predictions tu hufanyika sometimes zinaweza kuwa sahihi au wrong!

Ati tamthilia ya Razia Sultan hutazamwa na wanawake na watoto! Mtazamo dume huo.
Ulitaka niwe na mtizamo neutral au wakike?
Mwanaume hawezi kutazama tamthilia yakike kama hiyo kwanza inakufunza nini kama sio kukufanya uwe mlenda tu.

Je, Thatcher na indira Gandhi nao ni wa tamthilia? Kwako wewe hata bandiko kuu, ambalo mwandishi kawakilisha utabiri wake ni upuuzi?
Upuuzi na nusu.
Kuna tamthilia za kiume ni nyingi tu, asilimia kubwa ya wacheza hizo tamthilia wanashiriki mapenzi ya jinsia moja au ni milenda milenda tu.
.
Ukitazama vitu kama Outlanders hivi n.k u feel uanaume sio unatazama tamthilia za kike kike hizo ndiomaana hadi mnasimuliana maofisini zee zima linakaa kuangalia eti Razia ungekuwa mwanangu ushatafuta kwako mapema sana.

Jeeeesus, what a sick comment!
Can't expect anything intelligent from you.
 
Hivi sisi wa Tanganyika ndio tunaibembeleza Zanzibara kwene muungano eee hivi ni kwanini
Hatuibembelezi ni wanataka wao ni mkoa wetu hawataki ndio hivyo!
Nenda zenji uone Askari wengi ni wakutoka wapi wa majeshi yote
 
Scandal ni kali sana mkuu
Tizama tamthilia ya DESIGNATED SURVIVOR na Scandal, utajua wanasiasa na watawala wanaandaliwaje.
Hautaamini macho yako na kuanzia siku hiyo utagundua Kila maamuzi Yana matarajio tofauti.
 
Everyday is a bad day.Zanzibaris wake up in bed and think of things that might have been.
 
Mwanamama alishasema hatogombea

Back
Top Bottom