Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kuna Kitu kati hapo kabla Uchguzi?Mkuu hii Ni ndoto, Kuna sehemu nimeandika Sina hakika na niliyoyaona Ila .......
Nimewaachia ninyi mtoe tafsiri ya ndoto yangu. Mwisho nikasema Kama Ni kweli tusubiri media confirmation.
Mwisho wa UTABIRI.
Chanzo Cha Makinda kuwa spika ilitengenezwa option ngumu ya kumkwepa Samweli Sitta bila kuonekana chama kimemuonea.Zanzibar ni kitamaduni ni kama nchi ya ki-cheif/ku-sultani na haijawahi kutokea sultani mwanamke.
Ila Paskali kama logic yako ya Dr. Hussein kuchukua Urais wa Zenji 5 years then baada ya Mkulu wa sasa ahamie huku; mantiki inagoma ila hakuna kisichowezekana chini ya jua.
Ila muato ndoto nae anaweza kuwa na sense, kama ilivyokuwa 2010 kwenye kinyang'anyiro cha Uspika wa Bunge, CC ikasema safari hii mwanamke then Mana Anne Makinda akapenyea hapo. Kwa muktadha huo VP ni mkubwa ki-hierach ila huenda Mama Samia akapata hadhi ya kutembea kwenye red carpet, kupigiwa mizinga na kuandamana na Kanali kama mpambe. Anaweza kukubali kushuka ki-hierach ila akatamani kuzungukwa na kuwa boss wa visiwa wa marashi ya pemba.
Siku 60 kuanzia leo kitakuwa kishaeleweka na tutakuwa tunawatakiwa kila la kheri wazenji kwenye uchanguzi, maana anaepenya kwa dirisha la CCM bila shaka mfumo hupelekea kuchaguliwa na kutangazwa na maisha yakaendelea.
Wenye turufu hapa ni CC na NEC; kinachobakia huku, huwa ni formality
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mh huko mie simo, Mambo ya kutafutana muhali Tena, nimekuelewa vizuri tu.Subiri GOGOKI ataupdate maana anafatilia kikao cha KISIWANDUI......Ila kasema kwamba Mgombea Wa Meko anapigwa Chini ,Sasa sijajua kama mgombea wa Meko ni Dr Hussein Mwinyi au mwingine?
Tunamtabiria uraisi.Kashafika mbali tayari aisee yani kuwa no 2 bado hajafika mbali au mpaka awe raisi wa marekani
Deni la umeme lazima muwasamehe,wao wana madeni makubwa wanakudaini, lakini kwa sababu wao ni wastaarabu, kwavile wanakuchukulieni kama ndugu,wanakuwa hawapigi kelele Sana kuhusu madeni wanayokudaini..Tunawanyanyasaje hao wazenji?
Wametaka nini tumewanyima deni la umeme lenyewe tumewasemehe
BoombaclaatPazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.
Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.
Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa na haiba inayorandana Kila pahala. Wasomi Hawa wawili wa kiwango cha juu wanazidiana sifa moja tu.
Mmoja ameishi na kukulia Zanzibar na mwingine ameishi na kukulia Dar es Salaam.
Wanaume hao Ni Profesa Makame Mbarawa Mnyaa na Dkt. Hussein Mwinyi.
Naona ukungu mzito watu wengi wanabishana hapana huyu hajakulia na kuishi huku iweje tumkabidhi jukumu zito hivi wakati ana kila nasaba na watu wa bara. Safari hii hatukubali lazima tufanye tutakavyo sisi na sio wao.
Naiona busara kubwa ikitumika kumaliza mgogoro huu kwa turufu ya jinsia. Unazuka mjadala kama ndio hivyo basi wakose wote na akae mwanamke ili kuondoa dhana ya upendeleo na visa vya nani ni nani.
Namuona mwanamke mwenye sauti ya mamlaka na akitokea kwenye kiti chenye maamuzi mazito akikubali kubeba gharama za kuinusuru chama na mpasuko. Namfananisha na Samia Suluhu Hassan. Nyota yake Ni Kali sana na ndiye anayewatuliza wanaume hawa wawili kwa kuvaa kiatu cha kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM huko visiwani Zanzibar.
Ndoto yangu haiishii hapa, namuona Mwenyekiti na kamati yake wanajifungia kwa muda na hawa wanaume wawili Kisha wanakubaliana kitu.
Siku chache baadaye nawaona wanaume hawa wanaongozana hadi Dodoma.
Namuona Mwenyekiti wa wa CCM anapitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu kuwa ndiye mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Nawaona wajumbe wa CCM wanaenda chemba kunong'onezana na kisha Mwenyekiti wa muda anamtangaza Dr. Hussein Mwinyi kubeba bendera ya Chama kama Mgombea mwenza wa Magufuli.
Ndoto inaendelea nawaona wajumbe wakimtaja Profesa kama Makamu Rais wa Zanzibar.
Nawaona wakitoka na nyuso za furaha Kila mmoja.
Usingizi unakatika nashtuka najiuliza ni kweli au ni mawaa ya ndoto.
Ngoja tusubiri media confirmation, mimi nishamaliza ndoto yangu.
Walio kwenye pannel ya usaili, wakiamua kwa pamoja "kula kichwa", huwa wanatafuta justifiable grounds kufanya hivyo. Mzee Malecela na EL wanajua nini JKN had a justifiable reason "kuwakata".Chanzo Cha Makinda kuwa spika ilitengenezwa option ngumu ya kumkwepa Samweli Sitta bila kuonekana chama kimemuonea.
Pili ilimfanya akose maneno kwa sababu neno lolote ambalo angelilitamka angeonekana Ana nongwa na cheo na pili Ni mbaguzi hapendi wanawake wapewe heshima kubwa na aghalabu angeliambiwa anapenda mfumo dume.
Lolote linawezekana let's wait.
Kama kweli BoT imeundwa kwa pesa toka visiwa vya karafuu, hili lingekuwa lishasikika siku nyingi kama sehemu ya kero za muungano.Deni la umeme lazima muwasamehe,wao wana madeni makubwa wanakudaini, lakini kwa sababu wao ni wastaarabu, kwavile wanakuchukulieni kama ndugu,wanakuwa hawapigi kelele Sana kuhusu madeni wanayokudaini..
Hivi unajua kuwa Benk of Tanzania (BOT) imeundwa kwa Pesa za Zanzibar,..
mkawaahidi Wazanzibari kuwa mtawalipa faida kwa kila kinachopatikana kutoka BOT
Je mnawalipa?je unajua ni kiasi gani Zanzibar inaidai Tanganyika?..
KuhusuDeni la umeme, Watanganyika hawajawasamehe Wazanzibari Deni hilo,isipokuwa wanapunguza deni wanalodaiwa..
Kwa wale? Wasiofahamu nini kinaendelea ndio,mnaambiwa kuwa Zanzibar imesamehewa deni la Umeme, lakini ukweli sio huo
Unaweza kuthibitisha madai yako?Deni la umeme lazima muwasamehe,wao wana madeni makubwa wanakudaini, lakini kwa sababu wao ni wastaarabu, kwavile wanakuchukulieni kama ndugu,wanakuwa hawapigi kelele Sana kuhusu madeni wanayokudaini..
Hivi unajua kuwa Benk of Tanzania (BOT) imeundwa kwa Pesa za Zanzibar,..
mkawaahidi Wazanzibari kuwa mtawalipa faida kwa kila kinachopatikana kutoka BOT
Je mnawalipa?je unajua ni kiasi gani Zanzibar inaidai Tanganyika?..
KuhusuDeni la umeme, Watanganyika hawajawasamehe Wazanzibari Deni hilo,isipokuwa wanapunguza deni wanalodaiwa..
Kwa wale? Wasiofahamu nini kinaendelea ndio,mnaambiwa kuwa Zanzibar imesamehewa deni la Umeme, lakini ukweli sio huo
Nafahamu.Du, Mkuu mbona mtazamo wako ni hasi!
Je, unajua kuwa tamthilia hutungwa kuwakilisha maisha yaliyotokea au yatakayotokea! Vivyo hivyo hata sanaa zingine km nyimbo hutungwa kutokana na maisha halisi au kutabili yatakayotokea.
Ulitaka niwe na mtizamo neutral au wakike?Ati tamthilia ya Razia Sultan hutazamwa na wanawake na watoto! Mtazamo dume huo.
Upuuzi na nusu.Je, Thatcher na indira Gandhi nao ni wa tamthilia? Kwako wewe hata bandiko kuu, ambalo mwandishi kawakilisha utabiri wake ni upuuzi?
Can't expect anything intelligent from you.Jeeeesus, what a sick comment!
Hatuibembelezi ni wanataka wao ni mkoa wetu hawataki ndio hivyo!Hivi sisi wa Tanganyika ndio tunaibembeleza Zanzibara kwene muungano eee hivi ni kwanini
Tizama tamthilia ya DESIGNATED SURVIVOR na Scandal, utajua wanasiasa na watawala wanaandaliwaje.
Hautaamini macho yako na kuanzia siku hiyo utagundua Kila maamuzi Yana matarajio tofauti.
Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.