Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Mkuu umejitadi mkuu!!
 
Kinacho niumiza zaidi ni kuona jinsi tunavo okoa ndugu zetu ki local wakati kila kukicha tuna nunuaV8

Sent from my ZTE BLADE A512 using JamiiForums mobile app
Umeongea jambo la maana sana. Hata moto wa mlima Kilimanjaro ulikuwa unapelekwa ki local. Hawa watu waliopo madarakani sijui huwa wanaplan nini!!???
ni aibu sana sana
 
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Unabii umetimia japo ndege iliyoanguka haiko na rangi nyekundu ni kijani na njano
 
Back
Top Bottom