Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Maelezo yake hayaoani, kabahatisha au kahusika kuikorofisha hiyo ndege, hamna lolote hapa
enhee ameikorofisha vp...... πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ
 
Nawaona wapumbavu mnaosema utabiri umetimia. Precision ina rangi nyekundu? Imekatika vipande viwili? Na kwenye uokoaji automatically wa kwanza kuokolewa ni watoto na haihitaji utabiri wowote. Tusubiri labda kuna ndege nyingine ya rangi nyekundu itaanguka na kukatika vipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…