Umetoka China tayari???Nawaona wapumbavu mnaosema utabiri umetimia. Precision ina rangi nyekundu? Imekatika vipande viwili? Na kwenye uokoaji automatically wa kwanza kuokolewa ni watoto na haihitaji utabiri wowote. Tusubiri labda kuna ndege nyingine ya rangi nyekundu itaanguka na kukatika vipande.
Mtabiri kasema tuombe kuepusha, wewe bado unasubiria ajali kweli?Huu utabiri unasifiwa ila uko mbali kabisaaaaaa. Tusubiri ajali nyingine sio hii ya leo
Pia alisema kama ni maandiko na yatimieMtabiri kasema tuombe kuepusha, wewe bado unasubiria ajali kweli?
Sio lazima utukane ukitaka kuwa tofauti kimtazamoNawaona wapumbavu mnaosema utabiri umetimia. Precision ina rangi nyekundu? Imekatika vipande viwili? Na kwenye uokoaji automatically wa kwanza kuokolewa ni watoto na haihitaji utabiri wowote. Tusubiri labda kuna ndege nyingine ya rangi nyekundu itaanguka na kukatika vipande.
Sio vitu vya kucheka ila duuuh😂😂😂😂😂😂Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
😂😂😂Dah,hapo sawaRubani anatupuwa majini tu anaangusha ndege
Mbona majini yaliwaingia nguruwe wakazama baharini
Ongea kwa adabu na nidhamu hapa sio vichochoroniOya Kibatala kwahiyo kesho tumpeleke Kisutu au
Unawivu na mwezio tuHuu utabiri unasifiwa ila uko mbali kabisaaaaaa. Tusubiri ajali nyingine sio hii ya leo
Kaka hebu tukumbushe , bado unaendelea kuvunja roho chafu au umekubaliana na mtoa mada? Kuna mda mtu anaweza kukuletea habari kwa njia ya maono kumbe anahusika na industry husika na kuujua uovu , nakuhakikishia tutegemee majanga mengi zaidiWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
mkuu kwenye masuala ya ndoto inaweza isiwe ile exactly scenario itakavyokuwa lakini ujumbe unabaki uleuleUtabiri haujatimia, huyu jamaa alisema ndege itakatika vipande viwili na ndege ina beji nyekundu. Lakini sio kweli vyote hivyo
Tuache upuuzi watanzania
Mtabiri kataja ndege kuanguka na kukatika vipande viwili, lakini pia kaona rangi nyekundu, simple tuutafsiri utabiri wake, ndege kuanguka ni 100% , ile rangi nyekundu alifichwa yawezekana ni damu iliyomwagika baada ya vifo, ndege kukatika vipande viwili hii haijatokea lakini how if ingeanguka kutoka anga ya juu sana pale kahama na sio sehemu ya maji kama ziwani hali ingekuaje? Kiasi kikubwa utabiri wake umetimia
[emoji848][emoji120]Utabiri umetimia, ndege nyekundu inarepresent vifo....
Asilimia flani ya viwanja vipo jirani na bahari au ziwa nadhani huwa ni kwa makusudi au ni sababu flani.Precision ya kwenda bukoba imedondoka kwenye maji leo wakati wa kutua pale uwanjani, je kuna uhusiano na utabiri wako huu? Ila kale ka uwanja kamekaa vibaya sana, maana one mistake basi ndege itatua majini au itapitiliza mpaka nje ya uwanja.
Usitumie kichwa kama mfuko wa meno pekee. Ni kipi hapa kilichotimia?Unawivu na mwezio tu
Pole
Sawa Bonge la mchawi-mwanga yametimia bana japo haikuvunjika vipande viwiliSalaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee