Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Nawaona wapumbavu mnaosema utabiri umetimia. Precision ina rangi nyekundu? Imekatika vipande viwili? Na kwenye uokoaji automatically wa kwanza kuokolewa ni watoto na haihitaji utabiri wowote. Tusubiri labda kuna ndege nyingine ya rangi nyekundu itaanguka na kukatika vipande.
Umetoka China tayari???
 
Mtabiri kataja ndege kuanguka na kukatika vipande viwili, lakini pia kaona rangi nyekundu, simple tuutafsiri utabiri wake, ndege kuanguka ni 100% , ile rangi nyekundu alifichwa yawezekana ni damu iliyomwagika baada ya vifo, ndege kukatika vipande viwili hii haijatokea lakini how if ingeanguka kutoka anga ya juu sana pale kahama na sio sehemu ya maji kama ziwani hali ingekuaje? Kiasi kikubwa utabiri wake umetimia
 
Sio lazima utukane ukitaka kuwa tofauti kimtazamo
Elimika basi
 
Jamaa alitabiri kuona watu wengi mto ruvu na akaona kuna shida itaanzia pale na shida itakua kubwa lakini akasema mwenyewe haelewi itakua nini akasema tuombe sana hiyo ilikua mwezi wa nne bado tumpinge leo wakati kweli Mto Ruvu unaleta shida zake
 
Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Kaka hebu tukumbushe , bado unaendelea kuvunja roho chafu au umekubaliana na mtoa mada? Kuna mda mtu anaweza kukuletea habari kwa njia ya maono kumbe anahusika na industry husika na kuujua uovu , nakuhakikishia tutegemee majanga mengi zaidi
 
Mtabiri kataja ndege kuanguka na kukatika vipande viwili, lakini pia kaona rangi nyekundu, simple tuutafsiri utabiri wake, ndege kuanguka ni 100% , ile rangi nyekundu alifichwa yawezekana ni damu iliyomwagika baada ya vifo, ndege kukatika vipande viwili hii haijatokea lakini how if ingeanguka kutoka anga ya juu sana pale kahama na sio sehemu ya maji kama ziwani hali ingekuaje? Kiasi kikubwa utabiri wake umetimia
 
Attachments

  • 163CB00E-DCD8-46C5-ACC2-93E9BA7C2EFB.jpeg
    163CB00E-DCD8-46C5-ACC2-93E9BA7C2EFB.jpeg
    40.8 KB · Views: 7
Precision ya kwenda bukoba imedondoka kwenye maji leo wakati wa kutua pale uwanjani, je kuna uhusiano na utabiri wako huu? Ila kale ka uwanja kamekaa vibaya sana, maana one mistake basi ndege itatua majini au itapitiliza mpaka nje ya uwanja.
Asilimia flani ya viwanja vipo jirani na bahari au ziwa nadhani huwa ni kwa makusudi au ni sababu flani.
 
Utabiri wake haujatimia, hakusema hiyo ajali itatokea lini na wapi, hizo rangi na namna ajali hii ilivyo ni tofauti na utabiri wake, kwahiyo tusubiri utabiri wake lakini sio huu.

Ila mimi kwa nilivyoangalia huu utabiri wake, ulikua una husiana na kinachoendelea KQ ambao ndege zao zina alama hizo nyekundu na hivi sasa kuna mgomo wa marubani, na wanaoziendesha ndege hizo hivi sasa ni wale marubani ambao hawapo kwenye chama cha marubani na wengi wao utaalam wao sio wa kiwango cha juu
 
Unawivu na mwezio tu
Pole
Usitumie kichwa kama mfuko wa meno pekee. Ni kipi hapa kilichotimia?
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
 
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Sawa Bonge la mchawi-mwanga yametimia bana japo haikuvunjika vipande viwili
 
Back
Top Bottom