Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

We jamaa duh...
Imetokea
Aisee
Kuna kitu kinaniambia huu haukiwa unabii wa ki Mungu kabisaaaaaa
Au hatukuomba kama alivyosema?
 
Logo nyekundu= mbia mwenzake na Precision air sasa hivi ni Kenya Airwayβœ“
kukatika vipande viwili,= suburi inasuliwe kwenye mchanga, watu wa Bugabo wananguvu sana maana wamevuta kokolo kabla hatujapata uhuru wanaweza kuvuta hii ndege hadi ikatike vipande viwili!
 
Unaona wivu kuwa alichotabiri kimetokea? Tabiri na wewe?
Nyie wadada ndo maana mnadanganywa sana na kutapeliwa kirahisi. Ndege iliyokatika katikati ipo wapi? Watoto waliokufa? Nembo nyekundu? Jamani tumieni akili kufikiria siyo masaburi.
 
Sasa mtu akisema mimi nitakufa, nikifa kweli ndio awe mtabiri.. πŸ˜‚
Haya mie nasema kuanzia sasa hivi mpaka mwakani atakufa mtu maarufu. πŸ˜‚
Nawe wewe umegundua utapeli wa jamaa?.details alizotoa na kilichotokea tofauti. Ila wanawake wengi tayari wanataka aanzishe kanisa au awe sheikh yahya wao....hii tanzania wengi wana matatizo ya akili.
 
Sasa mtu akisema mimi nitakufa, nikifa kweli ndio awe mtabiri.. πŸ˜‚
Haya mie nasema kuanzia sasa hivi mpaka mwakani atakufa mtu maarufu. πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na mimi nasema kesho lazima ajali ya gari itokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…