Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
We jamaa duh...
Imetokea
Aisee
Kuna kitu kinaniambia huu haukiwa unabii wa ki Mungu kabisaaaaaa
Au hatukuomba kama alivyosema?
 
Unabii umetimia japo ndege iliyoanguka haiko na rangi nyekundu ni kijani na njano
Labda aliona rangi ya hawa wamiliki wenzao KQ
Screenshot_20221106-175315_Samsung Internet.jpg
 
Logo nyekundu= mbia mwenzake na Precision air sasa hivi ni Kenya Airway✓
kukatika vipande viwili,= suburi inasuliwe kwenye mchanga, watu wa Bugabo wananguvu sana maana wamevuta kokolo kabla hatujapata uhuru wanaweza kuvuta hii ndege hadi ikatike vipande viwili!
 
Unaona wivu kuwa alichotabiri kimetokea? Tabiri na wewe?
Nyie wadada ndo maana mnadanganywa sana na kutapeliwa kirahisi. Ndege iliyokatika katikati ipo wapi? Watoto waliokufa? Nembo nyekundu? Jamani tumieni akili kufikiria siyo masaburi.
 
Sasa mtu akisema mimi nitakufa, nikifa kweli ndio awe mtabiri.. 😂
Haya mie nasema kuanzia sasa hivi mpaka mwakani atakufa mtu maarufu. 😂
Nawe wewe umegundua utapeli wa jamaa?.details alizotoa na kilichotokea tofauti. Ila wanawake wengi tayari wanataka aanzishe kanisa au awe sheikh yahya wao....hii tanzania wengi wana matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom