Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Kuna wakati kiongozi mkuu alihamasisha watu wote wamwombe Mungu aisaidie nchi. Tuliona
mauaji ya albino yakikoma, panya road wakitoweka, ajali zenye vifo vingi zikiisha, mauaji ya visa vidogo vidogo nayo yakipungua sana. Sasa hakuna kiongozi anayedhani Mungu anahusika kuilinda Tanzania. Yote hayo yamerudi kwa nguvu hasa. Angalia ukame na ukosefu wa maji nchini. Leo tena ajali ya ndege. Jamani nchi hii inahitaji maombi.
 
Kweli mkuu. Yani watu wanaona alipokosea tu ila alipo sahihi hawaoni kabisa.
 
Niliwaambia acheni kumkejeli mshikaji huyu mwamba hakoseagi mkanikejeli na mie; sasa na kuna mwengine anatumia ID ya Tumia Akili hawa wamba wawili ni noma kwenye utabiri tafuteni ID ya tumia akili muone alichoandika mie sisemi kitu
 
Jamaa ametisha Kwa Sisi tunaojua mambo ya utabiri hatuwezi kuiponda thread yako hata kidogo
Hajatisha!! alisema ndege itakayopata ajali ina logo nyekundu!! Precision air haina logo nyekundu, Logo yake hii hapa:


Alisema itakatika vipande viwili, lakini haijakatika!! Alisema watakaookolewa kwanza ni watoto wadogo nalo halikutokea!!
 
Kwenye Kuota ndoto kuna mambo mengi mno huwa muda mwingine tunaangalia vitu muhimu hizo ishu za logo na watoto kukolewa sio ishu Sana bali jiulize je ajali ya ndege imetokea au la!!
Kwani ukimpa credits utapungukiwa na nini
 
Kuota mambo ambayo yamepangwa kwenye ulimwengu WA roho inamanisha you have part of that spirit ambazo zimepanga yatokee au spirit ambayo inaweza kuona huo mpango . So swala SIo kutabiri swala ni roho ipi inahisika?
 
Hajaenda mbali sana kukosea, tuseme alitabiri karibu na ukweli.

Hiyo logo ndotoni yaweza kutafsirika ama onekana kama ni nyekundu kweli.

Haijalishi hata kama kuokolewa walitangulia watu wazima, lakini na watoto walikuwepo!

Kikubwa tunaangalia kuwa ndoto ya maono juu ya: "ajali ya ndege ya hivi karibuni" imetimia kwa usahihi takribani %100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…