Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati kiongozi mkuu alihamasisha watu wote wamwombe Mungu aisaidie nchi. TulionaWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Hao ndio mang'ombe wenyewe sasa, wengi saana huwa wanaingia kingi. 😂HSema atawapata mademu wengi sana watamwamini.
Sasa hapo upuuzi ni upi. We ulitaka aseme itaanguka precision air na itaanguka tareh 6 Victoria au. We kunjua roho toa like uappreciate.Utabiri haujatimia, huyu jamaa alisema ndege itakatika vipande viwili na ndege ina beji nyekundu. Lakini sio kweli vyote hivyo
Tuache upuuzi watanzania
Kweli mkuu. Yani watu wanaona alipokosea tu ila alipo sahihi hawaoni kabisa.Kwenye rangi kuna wajuvi wake. Inatosha kabisa bluu bahari mtu wa kawaida kukuambia ni nyeusi. Hoja kubwa hapa ni kutokea kwa ajali ya ndege. Mengine ni upinzani usio na maana. Tumpe heshima yake kwa kujaliwa kipawa ambacho ni nadra kwa mamilioni yetu
Usimsahau na magamba matatuNiliwaambia acheni kumkejeli mshikaji huyu mwamba hakoseagi mkanikejeli na mie; sasa na kuna mwengine anatumia ID ya Tumia Akili hawa wamba wawili ni noma kwenye utabiri tafuteni ID ya tumia akili muone alichoandika mie sisemi kitu
Hajatisha!! alisema ndege itakayopata ajali ina logo nyekundu!! Precision air haina logo nyekundu, Logo yake hii hapa:Jamaa ametisha Kwa Sisi tunaojua mambo ya utabiri hatuwezi kuiponda thread yako hata kidogo
Tunaruhusiwa kukemea ila sio kutukana watu mkuuWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
[emoji849]Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Kwenye Kuota ndoto kuna mambo mengi mno huwa muda mwingine tunaangalia vitu muhimu hizo ishu za logo na watoto kukolewa sio ishu Sana bali jiulize je ajali ya ndege imetokea au la!!Hajatisha!! alisema ndege itakayopata ajali ina logo nyekundu!! Precision air haina logo nyekundu, Logo yake hii hapa:
View attachment 2408681
Alisema itakatika vipande viwili, lakini haijakatika!! Alisema watakaookolewa kwanza ni watoto wadogo nalo halikutokea!!
Nabii au mlozi
Usiwe mkurupukajiWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Hajaenda mbali sana kukosea, tuseme alitabiri karibu na ukweli.Hajatisha!! alisema ndege itakayopata ajali ina logo nyekundu!! Precision air haina logo nyekundu, Logo yake hii hapa:
View attachment 2408681
Alisema itakatika vipande viwili, lakini haijakatika!! Alisema watakaookolewa kwanza ni watoto wadogo nalo halikutokea!!