Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Kwa kosa gani sasa?Huyu jamaa angekua nchi za wenzetu tayali angekua chumba maalum na taa Kali zikimmulika na kichapo cha mbwa mwizi kikiendelea
Kama humu JF watu wengi walimtukana na kumkejeli, unadhani nani angechukulia serious?Alfu watu anakuja wanasema utabiri sawa hata kama ni utabiri na alijua utabiri wake hua ni maridadi ilikuaje alishindwa nin kwenda kuripoti sehem husika. Alafu na kifo cha Magufuli alikitabiri 2016
Yaani acha tu!!Mkuu sometime unawaza hii Dunia mpaka kichwa kinauma,unajiuliza kama kuna viumbe wana uwezo wa kuona mambo ya bdae kwa kiwango hiki maana yke wanaweza kupredict the future?
[emoji1787][emoji1787]Huyu jamaa na yeye serikali impe kazi kwenye ofisi za mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa.
Majini hayo huwa yanakutembeza wala si Mungu. Mungu anapokuonyesha jambo hukupa na njia aidha kuzuia, kuonya au kuponya ili watu watubu na kumrudia Mungu lkn ukisema tu ajali itatokea bila way forward hayo ni mapepo ya utambuzi tu.Mkuu kuna baadhi ya siku huwa natembezwa kuonyeshwa baadhi ya mambo na nnachoneshwa lazima itimie coz huwa ni mpango wa Mungu ambao ameshakadiria itokee...
Kipigo kikali mno, angekua ametepeta akisubiri part two baada ya msibaHuyu jamaa angekua nchi za wenzetu tayali angekua chumba maalum na taa Kali zikimmulika na kichapo cha mbwa mwizi kikiendelea
....... [emoji124][emoji124][emoji124]Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Jf hakuna mnyonge..Nilikuwa na safari ya kwenda Dubai nitafanyaje sasa
Yani angekua ashajuta mnoKipigo kikali mno, angekua ametepeta akisubiri part two baada ya msiba
Ujawai ona mtu ana kesi kubwa tu anachukuliwa vituo vyote vya polisi hayupo na mahakamani hakuna kesi mwisho wa siku anarudi nyumbani kapigwa kapigikaHakuna case hapo. Mahakama gani itaanza kujadiri maswaka ya Ndoto?
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Anaweza akawa sehemu ya conspiracy pia...Huyu jamaa maharage ya ukweni watu walimdhihaki sana alipoleta uzi. Kuna watu wamebarikiwa haya mambo.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Hyo sio case mkuu huko ni kutekwa.Ujawai ona mtu ana kesi kubwa tu anachukuliwa vituo vyote vya polisi hayupo na mahakamani hakuna kesi mwisho wa siku anarudi nyumbani kapigwa kapigika
Nyie wanawake mkiamua kumuamini mtu....huwa hamwelewi. Nawaelewa sana...Lakini umetimia 90%
Nyie wanawake mkiamua kumuamini mtu....huwa hamwelewi. Nawaelewa sana...Neno air ni rangi gani
Nyie wanawake mkiamua kumuamini mtu....huwa hamwelewi. Nawaelewa sana...Imekatika kichwa na part iliyobaki
unaita watu usiowajua wapumbavuWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
kitu gani hakunaHakuna kitu kama hicho