Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Alfu watu anakuja wanasema utabiri sawa hata kama ni utabiri na alijua utabiri wake hua ni maridadi ilikuaje alishindwa nin kwenda kuripoti sehem husika. Alafu na kifo cha Magufuli alikitabiri 2016
Kama humu JF watu wengi walimtukana na kumkejeli, unadhani nani angechukulia serious?

Hata wangechukulia serious wangefanya nn maana haijulikani siku hasa ni lini na ndege ya kampuni gani hasa itapata ajali.

Mambo mengine tunabaki kumuachia mungu mwenyewe.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna baadhi ya siku huwa natembezwa kuonyeshwa baadhi ya mambo na nnachoneshwa lazima itimie coz huwa ni mpango wa Mungu ambao ameshakadiria itokee...
Majini hayo huwa yanakutembeza wala si Mungu. Mungu anapokuonyesha jambo hukupa na njia aidha kuzuia, kuonya au kuponya ili watu watubu na kumrudia Mungu lkn ukisema tu ajali itatokea bila way forward hayo ni mapepo ya utambuzi tu.
 
Ujawai ona mtu ana kesi kubwa tu anachukuliwa vituo vyote vya polisi hayupo na mahakamani hakuna kesi mwisho wa siku anarudi nyumbani kapigwa kapigika
Hyo sio case mkuu huko ni kutekwa.

Watanzania tumemezeshwa uoga na tukaukumbatia.

Mfano. Kuna kipindi kulitokea mtu kauliwa na kutupwa mitaa ya kwetu. Watu walikua wengi sana kushangaa lkn polisi walipo kuja ikazuka tafrani ya watu kukimbia ety wanaogopa kukamatwa kusaidia polisi mm nikabaki nasgangaa like seriously?

Usemwalo laweza kuwepo ila ni kinyume na sheria na utaratibu, na hata anbaye atafanya hivyo hawezi solve lolote unless kue na tetesi kua Event ilikua pre-planed.


Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom