Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Alfu watu anakuja wanasema utabiri sawa hata kama ni utabiri na alijua utabiri wake hua ni maridadi ilikuaje alishindwa nin kwenda kuripoti sehem husika. Alafu na kifo cha Magufuli alikitabiri 2016

Kuna Utabiri mpaka wa miaka 100
 
Kati yako na yeye nani mpumbavu sasa?!
Kwani wewe unaona ile ni ajali? Ajali waliopanga hao wachawi, wakajifanya kuleta utabiri, ni kuua wote. Kilichotokea pale uchawi wao Mungu kauzuia ila, karuhusu hicho kilichotokea ili tujifunze kitu.

Ajali ya ndege waliopanga hao wschawi ni moto pale mngekuta masizi na vipande 2 vikiungua. Ile imezuiwa ila uzembe wa serikali umeua hao watu.
 
Mkuu kuna baadhi ya siku huwa natembezwa kuonyeshwa baadhi ya mambo na nnachoneshwa lazima itimie coz huwa ni mpango wa Mungu ambao ameshakadiria itokee...
Mkuu kuna post ndani ya thread ila ya mwaka jana niliona unawalalamikia mods kufuta thread yako uliyotabiri kifo cha rais na kikatokea.
 

Mkuu, naomba umalizie kusimulia kimoja wapo ulichoota kuhusu Rais Samia na ukasema unatamani kisitokee.

Nadhani kuna sehemu niliona kipindi cha nyuma umezungumza kuhusu hilo, kama nitakuwa na kumbukumbu nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…