mteule senior
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 293
- 196
Huyu jamaa anayesema analifunika anga kwa damu ya YESU ...yupo sahihi! tatizo hakutakiwa kutumia lugha hiyo ya ukali.Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Pia watu wa Mungu hawakuchukua muda mrefu kuliombea suala hilo na madhara yake wakafa na wengine wakaokolewa..Mipango ya shetani ilikuwa wafe wengi zaidi ya hapo .
Na pia tusisahau kuwa kuna mambo mengine MUNGU huyaruhusu yatokee kwa sababu zake maalum hata kama wewe utaomba hutoyazuia...Mimi binafsi nakuelewa japo wengi hawakuelewi