Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Dada wala sihitaji credit kutoka kwa mtu yeyote lakini jua kwamba nina kipawa na nina uwezo wa kupata maono katika jambo lolote,hivi hujiulizi kwanini sijasema ajali ya gari?au unadhani ajari za gari huwa sizionagi?
Maharage ya ukweni we inabidi ushikiliwe na polisi, inabidi utoe ufafanuzi imekuwaje umejuaje kama ajali itatokea,

Halafu unasema ety, maono wakati umesema ndege itakatika kati na ina beji nyekundu. Huo utabir au utapeli!!!

Serikali inabidi ikufuatilie kupitia jamii forums na email yako ya jf
 
Ukisoma dhread za huyu jamaa utajua hujui
 
Attachments

  • Screenshot_20221108-142439_Instagram.jpg
    Screenshot_20221108-142439_Instagram.jpg
    43.2 KB · Views: 12
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
View attachment 2410365
Dahh na kweli ndege ilikatika vipande viwili dahhhh 😥 we Jamaaa wewe
 
Attachments

  • DB76F45E-B034-4B83-AE5C-4CDBB81AC007.jpeg
    DB76F45E-B034-4B83-AE5C-4CDBB81AC007.jpeg
    40.3 KB · Views: 13
Nani mpumbaf boss kati yako na jamaa?
Msamehee bure ndg yangu,huyo Kesha cremishwa kua kila kitu ni Yesu,hadi anazarau hadi nguvu zake za asili! Unaweza kuta kaoteshwa wwe lakini akiamka asubuhi hakumbuki hata ndoto moja! Maana asikuambie Mtu,watu wengi sana wakilala wanaota,ata Mimi naota pia,sema mziki uko kuikumbuka hiyo ndoto yote asubuhi,kila ukiivuta haiji ngooo!!!
 
Maharage ya ukweni we inabidi ushikiliwe na polisi, inabidi utoe ufafanuzi imekuwaje umejuaje kama ajali itatokea,

Halafu unasema ety, maono wakati umesema ndege itakatika kati na ina beji nyekundu. Huo utabir au utapeli!!!

Serikali inabidi ikufuatilie kupitia jamii forums na email yako ya jf
Ina maana hujaona kwamba ndege imekatika katikati!!??
 
Back
Top Bottom