martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Maharage ya ukweni we inabidi ushikiliwe na polisi, inabidi utoe ufafanuzi imekuwaje umejuaje kama ajali itatokea,Dada wala sihitaji credit kutoka kwa mtu yeyote lakini jua kwamba nina kipawa na nina uwezo wa kupata maono katika jambo lolote,hivi hujiulizi kwanini sijasema ajali ya gari?au unadhani ajari za gari huwa sizionagi?
Halafu unasema ety, maono wakati umesema ndege itakatika kati na ina beji nyekundu. Huo utabir au utapeli!!!
Serikali inabidi ikufuatilie kupitia jamii forums na email yako ya jf