Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Hizo ni minor error kwanza mi sio mzungu ila nina uhakika 98%umeelewa ukiondoa ubishi wa asili
Kilichokufanya uandike kizungu Ni nn ... Na Hy breaking news na utabiri vinafananaje ?
Ujuvi Mwingi sheikh
 
Watanzania watu wazima wako zaidi ya milioni 30. Kungekuwa na uwezekano wa kuuliza raia wote vitu vyote walivyoota usiku, kwa muda wa wiki moja, ni lazima wako walioota ndege kuanguka.
Lakini hawakuja mbele kusema ndoto yao Kama alivyofanya mleta maada siku ya oct 25!!
 
Dah.! Tusamehe kwa kejeli. You are real priest of living God.
 
Mkuu huyu awekeze ndoto zake Sport Pesa hatopata muda wa kuingia ingia Jf Mara kwa Mara. Nadra sana kutabiri na kutokea.
 

Hii ni uthibitisho kwamba kuna ulimwengu wa roho ambao ndiko mipango hutangulia kufanywa kabla haijadhihirika kwenye ulimwengu wa mwili.

Huyu mtu aliona kweli hili tukio. Bila shaka ni mtu mwenye connection na ulimwengu wa roho. Kwamba yuko upande gani kwenye huo ulimwengu wa roho, sifahamu.

Suala la rangi ni jambo dogo kulinganisha na kuthibitika kwa tukio zima. Pia ujuzi wa rangi unatofautiana sana, inategemea uwezo wake wa kuona, na kumbukumbu yake (huwa hatuwezi kumbuka ndoto kwa ufasaha wa 100%).

Ingekuwa ni conspiracy ya kawaida angeishia tu kusema ndege itapata ajali. Asingeweza kujua taarifa za impact kama kukatika kwa ndege.

Kuna ulimwengu wa roho ambako mambo hutangulia kupangwa huko kabla ya kuthibitishwa kwenye ulimwengu wa mwili. JE, UKO UPANDE GANI KWENYE HUO ULIMWENGU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…