bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiambiwa utakufa kesho kutwa ugomviHahahaha mkuu nitabirie hivi ninatakua tajiri kweli kama ninavyotegemea miaka michache ijayo[emoji25][emoji26]
Kilichokufanya uandike kizungu Ni nn ... Na Hy breaking news na utabiri vinafananaje ?Hizo ni minor error kwanza mi sio mzungu ila nina uhakika 98%umeelewa ukiondoa ubishi wa asili
Mpaka damu zitoke masikioniHakuna kitu kama hicho
Mkuu kumbuka hajatabiri,ni ameota ndoto, ndiyo akaisimulia tu basi ndiyo hilo!!Nyie endeleeni kubisha but am sure next time akitabiri kitu mtamsikiliza kwa adabu
Jamani usihukumu ndoto yoyote ile, maana hukushiriki kuitengeneza!!Sasa kwanini hukutoa tahadhari?.au ulikua hujui itatokea nchi gani
Ndoto ya kifo na kifo kutokea ndani ya familia!!Du watu mnalazimisha mambo! Sasa kuna uhusiano gani kati ya alichoota na kilichotokea?
Lakini hawakuja mbele kusema ndoto yao Kama alivyofanya mleta maada siku ya oct 25!!Watanzania watu wazima wako zaidi ya milioni 30. Kungekuwa na uwezekano wa kuuliza raia wote vitu vyote walivyoota usiku, kwa muda wa wiki moja, ni lazima wako walioota ndege kuanguka.
Kwa lugha rahisi tuseme utabiri umetimia kwa 95% maana vyote vilitimia isipokuwa rangi ya ndege tu.
Huyu jamaa atafutwe. AnahusikaHuu uzi si bure!
Duh! Haya Mkuu ngoja niendelee na toba, lakini siku zangu zikifika hakuna Jinsi lazima nimrudishie Sir God no yake ili anipangie majukumu mengine huko niendako!!Bado haijatimia endelea na toba
Salaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
View attachment 2410365