Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
Jamaa kasema akiota unatinduliwa itakuwa kweli,ndio nikakuuliza unaogopa jamaa ataota unatinduliwa,au?Kukutindua au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kasema akiota unatinduliwa itakuwa kweli,ndio nikakuuliza unaogopa jamaa ataota unatinduliwa,au?Kukutindua au?
Hahahahahahahahahahahaha!Mkuu samahani sana sema nilikuwa nataka nikutoe pangoni tu,ila kwakuwa umeshatoka basi utaendelea kuwa na marinda tena marinda yaliyotukuka kabisa
Umewaza vema, ila sasa jiulize mtu ana mention mpaka matukio mfano uokoaji wa mtoto, ndege kukatika katikatin.kVipi Kama Kuna mkono wake🥱
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kukutindua au?
Hahahahahahaha! jamaa amesharudi kutoka mafichoni mission completed sitoota kwamba atatinduliwaJamaa kasema akiota unatinduliwa itakuwa kweli,ndio nikakuuliza unaogopa jamaa ataota unatinduliwa,au?
Kiongozi mimi ni MuislamSamahani mkuu,ww ni Nani? Na unasali Imani gani?
Mkuu vp unaruhusiwa kunitabilia kitu????Hahahahahahahahahahahaha!Mkuu samahani sana sema nilikuwa nataka nikutoe pangoni tu,ila kwakuwa umeshatoka basi utaendelea kuwa na marinda tena marinda yaliyotukuka kabisa
Upo uwezekana aliyajua mazingira ya uendeshaji na hatari iliyopo ama Hata alishakuwa na nafasi ya kuwatahadharisha waendeshaji/wamilikiUmewaza vema, ila sasa jiulize mtu ana mention mpaka matukio mfano uokoaji wa mtoto, ndege kukatika katikatin.k
Angeishia kusema ajali possible wazo lako lingekuwa sahihi.
Pitia thread zake kipind kilichopita kuna kitu unaweza kujifunza.
Si vema kukaza akili sana.
Ni kweli alikua na hizo nafasi, lakini je wangemuelewa!???Upo uwezekana aliyajua mazingira ya uendeshaji na hatari iliyopo ama Hata alishakuwa na nafasi ya kuwatahadharisha waendeshaji/wamiliki
Hivi ni kweli imekatika katikati? maana sijaelewaNdege itakatika vipande viwili katikatiView attachment 2411333
Wewe soma kichw ch habari kinasemaje au unataka tu ubishi usio wa faida. Kasema anatabiri kutatokea ajali ya ndege au hujasoma kichwa Cha habariKuota na kutabiri ni vitu viwil tofaut useless kabisa arguments yako.
Mtu kaota ana kosa gani kuhadithia alichoota? Wewe huwa huoti? Au choyo kuona alichoota mwenzako kimetokea?