Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Jamani uliwezaje kuoneshwa hii ajali? Sikuona huu uzi ningeombaga hata hicho kidogo ninachoomba basi hii ajali Mungu azuie, kwenye sala na mimi ningeomba
 
*Ndege yenye rangi nyekundu
* ndege ikatakika katikati
*vifo na majeruhi narudia kusema wewe na mleta mada ni wapumbavu na mmeshindwa kwa jina la YESU
Wewe ni chizi ubisha kijinga kijinga
 
Huyu jamaa sio bure aisee.

Kuna movie moja ya final destination kuna mtu anajua yatakayotokea then anajitahidi kuepusha mambo hayo lakini haikusaidia.

Je maharage ya mbeya utabiri wako endapo tutaufanyia kazi utasqidia kuepusha mabalaa au ni lazima yatokee kwa kuwa umeshayaota
 
Mambo yakishatokea ulimwengu wa Roho ni lazima yaje kijiziirisha kwenye ulimwengu wa mwili.

Kujiandaaa na majanga kuna weza kupunguza madhara. Mfano tungejua exactly kua itakua kagera na baharini boti zingewekwa karibu kwaajili ya kuokoa manusura wa ajali

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Mazingira ya utabiri na Majaliwa ni kama a planned incidence
Haiwezi kua planned scene..

Hasa hasa kwa nchi yetu.. hayo ni maono..

Embu fikiria, tz tunaeza panga kuangusha ndege tena tupange ikatike katikati [emoji3][emoji3].. hatujawai kua serious ivo.

Kuna watu hua wanaota na matukio yanatokea (maono), wengine hua hawasemi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…