Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
We jamaa unaitaji credit.
 
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Imetokea kweli asee
 
Duh jamaa yupo vizuri, ana nguvu za maono japo wabongo uwa wanadharau sana, hata Ben alipotea kwa sababu ya dharau za wabongo
 
Wabongo bwana kuna watu wanajidai wanaijua sana dini na wanamjua sana Yesu,mtu kaeleza ya kwake badala ya kumuuliza nini kimemsukuma aseme hivyo mtu anakimbilia kutukana mara ooh kwa Jina la Yesu..kwamba wewe ndiye una imani sana ?
Kuhusu rangi ya ndege na matukio mengine aliyosema itoshe tu kusema tukubali jamaa alitoa utabiri wake ambao ni ndege kuanguka.
Swala la kutafsiri kila kitu kwa ufasaha ni ngumu haijalishi utabiri wa mtabiri unatokana na nguvu ya Mungu au la !
Kwa Wakristu kuna kitabu kinaitwa UFUNUO, kila mmoja ana tafsri ya ufunuo ule,ukienda kwa Msabato atakuambia hivi,ukienda kwa Mpentekoste anakuambia vile,ukienda kwa Mkatoliki naye ana tafsri yake.
Hivyo hakuna haja ya kumbeza. Maana utabiri wake mkuu ni ajali ya ndege hayo mengine ni maelezo ya nyongeza ambayo pengine ameshindwa kuyatafsiri vizuri ili ili kuwa sawa na utabiri wake.
Kuna mtu utakuta anapinga kwa nguvu na kutukana lakini kanisani kwake katabiriwa mwaka huu ataolewa/atajenga nyumba/atapata kazi n.k yasipotokea ndani ya mwaka husika haendi kumkosoa kiongozi wake aliyemtabiria badala yake anaendeleza kuwa na imani. Lakini hapa kwa jamaa utakuta mtu yule yule anajidai mkali na kutukana ovyo.
Tujifunze kuheshimu watu,kama alichoongea kipo kinyume na uelewa/mtazamo wetu basi tuhoji na sio kutukana ovyo.
Siyo wabongo tu mkuu. Mara nyingi si rahisi kuamini hivi vitu. Ni nature ya binadamu. Likishatokea ndo kumbu kumbu zinakuja kwamba hili jambo lilizungumzwa.

Mfano kuna yule jamaa aliyesemaga ameona bendera ikipepea nusu mlingotihalafu akasema tuombee sana ikulu. Some days after, mzee Magu akafariki
 
Hivi yule pastor alisema kweli au vybez zake tu? Mzee wauwaji wake walijua kitambo sana, walikuwa wanasubiria muda tu, walijua 2020-2021 haitapita, they said it very clear. Tumaini El aliandikq toka 2018
 
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Huna usabili wowote ni unataarifa vizuri ,logo haikuwa nyekundu na haikukatika katikati.na ajali zote wqnaanza okolewa watoto,
 
Huna usabili wowote ni unataarifa vizuri ,logo haikuwa nyekundu na haikukatika katikati.na ajali zote wqnaanza okolewa watoto,

Vijana akili zimepamba moto, hapo unabisha tena? [emoji23][emoji23][emoji706]
 
Vijana akili zimepamba moto, hapo unabisha tena? [emoji23][emoji23][emoji706]
Huyu ni mtu anasources za uhakika ona hii alipost
 
Attachments

  • Screenshot_20221107-022100_Chrome.jpg
    Screenshot_20221107-022100_Chrome.jpg
    215 KB · Views: 10
Natabiri kwamba watajitokeza wapumbavu wengine na kujifanya nao wanatabiri mambo na watasababisha taharuki na hofu miongoni mwa jamii lakini mwisho wa siku hakuna kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom