Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15][emoji15]hivi hawaruhusiwi kutabir kwani?Tukio kama hilo likitokea kweli jiandae kujibu mashtaka na utaozea jera tofauti na hvo watafute shirika husika uwaambie wasitishe safari siku hiyo
Jamaa ana vina saba vya pangolinBaada ya wiki moja, ndege ya Precision ikatua kwenye Maji na kusababisha vifo
Nadhani jana mwili ulisisimka zaidiDuh!.unatutisha wapanda mwewe mkuu, dah nimejikuta mwili unasisimka.
Mbambadu unajua Mkuu? Ni Yombo home sweet home, pole kwa wafiwa woteUnajikuta mtabiri tambi tambi eeh, wa ardhi ya mbambadu
Wanaruhusiwa lkn kama ndio hivo umetoka utabiri umetimia asilimia kubwa ya kuhusishwa kwenu case mpaka uchunguzi wa kina ukamilike ni swala dogo sana.[emoji15][emoji15]hivi hawaruhusiwi kutabir kwani?
😂😂😂 Nadhani amwniona mpumbavu proUnajisikiaje hapo ulipo?
HAtukupuuzia utabiri wake tuliomba ushindwe ila ndio hivyo Mungu ana makusudi yake kwanini aliruhusu bado itokee[emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi hakuna ajali iliyotokea?Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Wanaruhusiwa lkn kama ndio hivo umetoka utabiri umetimia asilimia kubwa ya kuhusishwa kwenu case mpaka uchunguzi wa kina ukamilike ni swala dogo sana.
Na kama alijua utabiri lazima utimie angeenda kutoa taarifa sehem husika kusudi watu wakawa chonjo. Me nafikilia hivyo
Isijekuwa ni hujuma na yeye ni moja wahusika. Kwa namna dlani hii ajali otaidhoofisha hiyo kampuni kibiashara na watapoteza wateja.Huyu jamaa Yuko vzr, alikuwa na uwezo wa kunyoosha Hadi rangi ya logo Ila aliogopa kufuatiliwa na serikali
duuhMsimdhihaki Huyu mshikaji hebu tafuteni nyuzi zake na comment alizowahi kuandika hakoseagi.
Huyu jamaa angekua nchi za wenzetu tayali angekua chumba maalum na taa Kali zikimmulika na kichapo cha mbwa mwizi kikiendeleaIsijekuwa ni hujuma na yeye ni moja wahusika. Kwa namna dlani hii ajali otaidhoofisha hiyo kampuni kibiashara na watapoteza wateja.
Kwenye movie tulizoea kuona ndwge ikianguka kwenye maji hukatika vipande viwili; yawezekana waliopanga hili sakata walijua ikianguka kwenye maji itakatika
Huyu kiukweli inatakiwa atafutwe.Huyu jamaa angekua nchi za wenzetu tayali angekua chumba maalum na taa Kali zikimmulika na kichapo cha mbwa mwizi kikiendelea
Alfu watu anakuja wanasema utabiri sawa hata kama ni utabiri na alijua utabiri wake hua ni maridadi ilikuaje alishindwa nin kwenda kuripoti sehem husika. Alafu na kifo cha Magufuli alikitabiri 2016Huyu kiukweli inatakiwa atafutwe.
Taarifa za awali zinasema ndege ilitua kwenye maji hivyo haikuangua. Hili linafikirisha sana.
Guu ni mpango ulipangwa
Nyie wanawake ndo maana mnatapeliwa sana. Sababu mnaamini watu sana. Sijui hata kama unaelewa. Details nimekwambia hazifanani. Mnadanganywa sana nyie...Ubishi wako tu ajari imetokea haijatokea?