Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

1. Hii iliyopata Ajali Haina Logo Nyekundu

2. Haijakatika vipande viwili

Screenshot_2022-11-07-08-04-02-863_com.android.chrome~2.jpg
 
Alfu watu anakuja wanasema utabiri sawa hata kama ni utabiri na alijua utabiri wake hua ni maridadi ilikuaje alishindwa nin kwenda kuripoti sehem husika. Alafu na kifo cha Magufuli alikitabiri 2016
Anatoaje taarifa wakati no mhusika wa kilichopangwa
 
Utabiri haujatimia , labda tutegemee ajali nyingine , haina logo nyekundu , na haijakatika ....!!
 
Ndiomana kama kitu sijui kabisa naona bora kukaakimya na kujifunza, huu utabiri niliuona na nikaona watu wakitoa matusi kejeli nk.

Nazan kila mmoja na mtazamo wake, kwangu mim naona umetimia tena kwa 120% hata kama haujatimia kwa njia zile zile za utabiri.

Kwanza kama ungekuw jinsi alivosema hata yeye asingekuw salama mpka sasa, pili angekuw kafanya hofu kwa abiria hivyo biashara za watu kuharibi na mwisho ni kwamba utabiri umetimia kwakuw ndege imeanguka na ukumbuke mwishon alisema tuombe.

Sasa wale waliosema kwa jina la..... na bado ndege imeanguka na kuuwa na huyu mtabiri nan wa kumuamini?
 
Utabiri ulitimia kwa 80% kwa sababu
1. Siku chache zijazo
2. Kuna ajali...
Kwenye vipande viwili inaweza kuwa kweli, kuna mvuvi alionekena akiwa amebeba kipande cha ndege ambacho ni pua ya mbele, kwenye maono kuna vitu vingine havionekenagi clear ila mwenyewe tu ndo unajiongeza kutafisiri.

Pia rangi aliyoiona ni nyekundu na ndege iliyopata ajali ina njano hivyo kwenye maono au ndoto unaweza kuona rangi ya njano ukadhani ni nyekundu kwa sababu zinakaribiana sana hivyo akatafisiri njano kama nyekundu tofauti kama ingekuwa nyeupe au kijani.

Hivyo utabiri wake kwa asilimia kubwa una ukweli japo hatujui anatumiwa na Mungu au Shetani.
 
Back
Top Bottom