Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Mh, ila humu jf kuna watu si wa kawaida ingawa tunawachukulia poa tu kutokana na masihara kibao yaliyopo humu.....

Kuna mtu alituambia Magufuli atakuwa raisi, kwa maguvu na umaarufu waliokuwa nao lowassa na membe tukapuuza lakini hatimaye magufuli akawa raisi kama ilivyosemwa...

Kuna mtu alisema kuwa magufuli hatomaliza muda wake, tukapuuza lakini machi 17 likatokea.......

Kuna mtu alisema tutapata raisi mkali lakini hatochukua muda ataingia raisi wa kike, tulipuuza lakini sote tunashuhudia......

Leo huu utabiri wa hii ajali umeniacha na fikra nyingi sana. Hata kama kuna maeneo hayajaenda kwa 100% kama ilivyo katika utabiri lakini ishu kubwa ilikuwa ajali ya ndege na ajali ya ndege ndicho kilichotokea......

Inafikirisha sana!
 
Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Kati yako na yeye nani mpumbavu sasa?!
 
Umemaliza huu mzigo wa maandazi
Sijamaliza niliweka maandazi sasa hivi naongezea na chai .
1654079890265.jpg


Credit mnazompa za bure kabisa .Hajataja muda ,pamoja na makosa mengine.

Na mimi natabiri ,lazima mimi siku moja nitaondoka.
 
Hahahaha mkuu nitabirie hivi ninatakua tajiri kweli kama ninavyotegemea miaka michache ijayo[emoji25][emoji26]
 
Mh, ila humu jf kuna watu si wa kawaida ingawa tunawachukulia poa tu kutokana na masihara kibao yaliyopo humu...
Mkuu sometime unawaza hii Dunia mpaka kichwa kinauma,unajiuliza kama kuna viumbe wana uwezo wa kuona mambo ya bdae kwa kiwango hiki maana yke wanaweza kupredict the future?
 
Yule do
Hajatisha!! alisema ndege itakayopata ajali ina logo nyekundu!! Precision air haina logo nyekundu, Logo yake hii hapa:

View attachment 2408681
Alisema itakatika vipande viwili, lakini haijakatika!! Alisema watakaookolewa kwanza ni watoto wadogo nalo halikutokea!!
Yule dogo Majaliwa amesema wa kwanza kumwokoa ni mama na mtoto wake mdogo..
 
Wanaruhusiwa lkn kama ndio hivo umetoka utabiri umetimia asilimia kubwa ya kuhusishwa kwenu case mpaka uchunguzi wa kina ukamilike ni swala dogo sana.

Na kama alijua utabiri lazima utimie angeenda kutoa taarifa sehem husika kusudi watu wakawa chonjo. Me nafikilia hivyo
Hakuna case hapo. Mahakama gani itaanza kujadiri maswaka ya Ndoto?

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom