yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu Wanajua kuchunguliaHakuna kitu kama hicho
Hamka usingizinWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Umemaliza huu mzigo wa maandaziJamaa hana akili na hii ni chai ngoja nisogeze maandazi.View attachment 2397746
Mim sijasema kuhusu shirikaYeye ameona ajali, hajaona shirika
Salama mkuu, sema tuliomba ajali isitokee ila bado ajali imetokea, tushukuru kwa kila jamboMkuu salama?
19 sio wengi kumbe?Ndege haina alama nyekundu
Ndege haijakatika vipande viwili
Watu wengi hawajafa
Shubaaamit
Unapongeza jeshi gani, na hao watu waliotoka salama wote ni wapi?"Mungu ni mwema sana,Hatimae abiria wote 49 wametoka salama.
Heshima kwenu JESHI pamoja na wananchi kwa kazi nzuri,Mungu azidi kuwashindia.[emoji120][emoji120]"--Copy & Paste
Kati yako na yeye nani mpumbavu sasa?!Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Mshana ulitia nenoLolote laweza kutokea.. Maombi na sala huepesha haya mambo
Sijamaliza niliweka maandazi sasa hivi naongezea na chai .Umemaliza huu mzigo wa maandazi
Mkuu sometime unawaza hii Dunia mpaka kichwa kinauma,unajiuliza kama kuna viumbe wana uwezo wa kuona mambo ya bdae kwa kiwango hiki maana yke wanaweza kupredict the future?Mh, ila humu jf kuna watu si wa kawaida ingawa tunawachukulia poa tu kutokana na masihara kibao yaliyopo humu...
Yule dogo Majaliwa amesema wa kwanza kumwokoa ni mama na mtoto wake mdogo..Hajatisha!! alisema ndege itakayopata ajali ina logo nyekundu!! Precision air haina logo nyekundu, Logo yake hii hapa:
View attachment 2408681
Alisema itakatika vipande viwili, lakini haijakatika!! Alisema watakaookolewa kwanza ni watoto wadogo nalo halikutokea!!
Hakuna case hapo. Mahakama gani itaanza kujadiri maswaka ya Ndoto?Wanaruhusiwa lkn kama ndio hivo umetoka utabiri umetimia asilimia kubwa ya kuhusishwa kwenu case mpaka uchunguzi wa kina ukamilike ni swala dogo sana.
Na kama alijua utabiri lazima utimie angeenda kutoa taarifa sehem husika kusudi watu wakawa chonjo. Me nafikilia hivyo