PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Porojo
Then na wasio wakristo nao wakitoa matamko tofauti na hayo nini kitazalishwa?
 
I'd like to differ,
Kwanza RC haiwezi kufanya ujinga kama huo kutoa waraka kupinga uchaguzi!

Pili uchaguzi wetu unafuata kanuni ya mshindi ni kwa a simple majority, hata tuko watu
milioni 100, wakajitokeza wagombea wawili tuu na kwenye kupiga kura, wakajitokeza watu watatu tuu kupiga kura, mmoja akapata kura 1, mwingine kura 2, yule mwenye kura mbili ni mshindi halali!.

Uchaguzi Mkuu wa October upo!
P
 
Reactions: Tsh
Kama ni lazima No reform no election ifanikiwe natamani isiwe kupitia makanisa sababu kuna mlango unaweza funguka wa udini na kuufunga ikawa tabu kweli.
 
We nawe ndio wale wasukuma wa NO LEFOMU,NO LOSHENI?
 
Kumbe bado muna zile akili zenu za udini? Et uchaguzi usifanyike kisa wakrisho wamesusa? Aaah ndio wakati wa waislamu huo kujaza viongozi bungeni ili iwaume vzur, maan now rais ni muislamu tu munaumia haijawahi tokea 🤣🤣
 
Sisi tunasiubiri yule aliyeandika Mambo 7 yatakayotokea kabla ya mwezi July
 
Reactions: Ame
Hiyo ni 4. Mbona ht huko ccm ndani waneielewa na wanaiimba huku wanamdanganya mama(according to kada wa chama)msikilize huyo kada


View: https://youtu.be/lxPWLcdDiKE?si=apjTxqnguO5KBXuP
 
Yetu macho, ngoja tuone, hata waraka uliotolewa ni wa kuutilia mashaka ,inawezekana ni wao, isipokuwa wanaukana kwa sababu inawezekana umetolewa muda usio muafaka
Wewe uliwaza kama Mimi.
Ile ilikuwa ndo km road map 🤣
 
Kuhusu kutoa waraka ni kawaida yao kutoa ila kuwazuia waumini wao kushiriki kupiga kura hii italeta misunderstanding. Kuna madhehebu watapingana nao ukiacha ile dini imbayo imekuwa iko kinyume nao hata kwa mambo ya msingi. Kuna wananchi wao hawasubiri kuhamasishwa au kushauriwa na taasisi yeyote hawatapiga kura kabisa kutokana na yanayotokea
 
Reforms zitafanyika sababu pesa ya kufanya uchaguzi ni msaada toka nje,

Na watoa msaada wameelekeza reforms kufanyika ndipo watoke pesa

Ni sawa tu na kutanguliza stend ilhal mwenye nauli bado ammelala ucngz,

Kaz ipo!
 
Pombe sio chai .Acha pombe
 
Reforms zitafanyika sababu pesa ya kufanya uchaguzi ni msaada toka nje,

Na watoa msaada wameelekeza reforms kufanyika ndipo watoke pesa

Ni sawa tu na kutanguliza stend ilhal mwenye nauli bado ammelala ucngz,

Kaz ipo!
Pesa ya uchaguzi inatoka nje? Nani kakudanganya wewe.Husikilizi bajeti ya serikalini?
Pesa zillitengwa toka bajeti ya mwaka jana kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu
 
Pesa ya uchaguzi inatoka nje? Nani kakudanganya wewe.Husikilizi bajeti ya serikalini?
Pesa zillitengwa toka bajeti ya mwaka jana kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu
Sibishani mm!
 
Sababu 1,2 na 3 haziwezekani,madhehebu hayawezi kuwazuia waamini wake kwenda kupiga kura.Sanasana watatoa waraka kuwa uchaguzi uwe wa haki na huru ila kuzuia hapana,hawawezi toa tamko moja kwa moja
 
Hii naweza kukazia maana nimesema mara nyingi hum jf kabla ya mwaka huu na ndani ya mwaka huu, kwamba mwaka huu hakuna uchaguzi.

Hili lipo wazi sana.
 
Kushiriki , uchaguzi huku mgombea wa chama Fulani akiwa ndio mteuwaji wa Mkurugenzi Mkuu wa tume ya uchaguzi sio ,sawa ,hili limenyanyasa sana vyama vya upinzani. Waseme imetosha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…