I'd like to differ,Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1.Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la Lutheran nalo litakuja na waraka wa kuunga mkono; ijapokuwa wata tofautiana wao kwa wao, lakini haitasaidia. Kwa sababu baadhi ya maaskofu kwenye majimbo yao yatashikiria msinamo wao ,hivyo wataungana na Dhehebu la RC.
3. Madhebu mengine madogo madogo kama Anglijana, TAG, n.k yataunga mkono serikali kwa sababu ya njaa kali na kurubuniwa lakini hayatafanikiwa.
5. Tunzeni huu , unabii , Dhana ya no election ,ni kama vile CCM na Serikali yake inakosea namna ya kupigana nao, wanapambana na chadema na wanajisahau kuwa hakuna watu hatari katika hili kama vyombo vingine ,ambazo ni taasisi za dini . Kuna baadhi ya maeneo yaliyo mengi wakristo ni wengi ukifananisha na dini nyingine. Ukitoa mikoa ya pwani , na maeneo ya mijini ambayo waumini wapo mchanganyiko.
Serikali na ccm wabadilishe mbinu zao, wanaelekeza nguvu nyingi upande mmoja , lakini wanasahau upande mwingine ambao ndio hatari zaidi. Iko mikoa qmbayo ni strongholds ya wakristu,, ambapo zoezi la upogaji kura yanaweza kuathirika ktk kuwapata viongozi kama serikali italazimisha kwenda kwenye uchaguzi, unaweza kuta kata nzima walio enda kupiga kura ni watu kumi, kwa sababu hata viongozi wa ccm waliopo huko chini wataogopa kwenda kupiga kura kwa sababu ya kuogopa kufungiwa na dhehebu hilo.
Sisi tunasiubiri yule aliyeandika Mambo 7 yatakayotokea kabla ya mwezi JulyUnabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la Lutheran nalo litakuja na waraka wa kuunga mkono; ijapokuwa wata tofautiana wao kwa wao, lakini haitasaidia. Kwa sababu baadhi ya maaskofu kwenye majimbo yao yatashikiria msinamo wao ,hivyo wataungana na Dhehebu la RC.
3. Madhebu mengine madogo madogo kama Anglijana, TAG, n.k yataunga mkono serikali kwa sababu ya njaa kali na kurubuniwa lakini hayatafanikiwa.
4. Tunzeni huu , unabii , Dhana ya no election ,ni kama vile CCM na Serikali yake inakosea namna ya kupigana nao, wanapambana na chadema na wanajisahau kuwa hakuna watu hatari katika hili kama vyombo vingine, Amazon ni taasisi za dini . Kuna baadhi ya maeneo yaliyo mengi wakristo ni wengi ukifananisha na dini nyingine. Ukitoa mikoa ya pwani , na maeneo ya mijini ambayo waumini wapo mchanganyiko.
Serikali na ccm wabadilishe mbinu zao, wanaelekeza nguvu nyingi upande mmoja , lakini wanasahau upande mwingine ambao ndio hatari zaidi. Iko mikoa qmbayo ni strongholds ya wakristu,, ambapo zoezi la upogaji kura yanaweza kuathirika ktk kuwapata viongozi kama serikali italazimisha kwenda kwenye uchaguzi, unaweza kuta kata nzima walioenda kupiga kura ni watu kumi, kwa sababu hata viongozi wa ccm waliopo huko chini wataogopa kwenda kupiga kura kwa sababu ya kuogopa kufungiwa na dhehebu hilo.
😀😀😀We nawe ndio wale wasukuma wa NO LEFOMU,NO LOSHENI?
Hiyo ni 4. Mbona ht huko ccm ndani waneielewa na wanaiimba huku wanamdanganya mama(according to kada wa chama)msikilize huyo kadaUnabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la Lutheran nalo litakuja na waraka wa kuunga mkono; ijapokuwa wata tofautiana wao kwa wao, lakini haitasaidia. Kwa sababu baadhi ya maaskofu kwenye majimbo yao yatashikiria msinamo wao ,hivyo wataungana na Dhehebu la RC.
3. Madhebu mengine madogo madogo kama Anglijana, TAG, n.k yataunga mkono serikali kwa sababu ya njaa kali na kurubuniwa lakini hayatafanikiwa.
4. Tunzeni huu , unabii , Dhana ya no election ,ni kama vile CCM na Serikali yake inakosea namna ya kupigana nao, wanapambana na chadema na wanajisahau kuwa hakuna watu hatari katika hili kama vyombo vingine, Amazon ni taasisi za dini . Kuna baadhi ya maeneo yaliyo mengi wakristo ni wengi ukifananisha na dini nyingine. Ukitoa mikoa ya pwani , na maeneo ya mijini ambayo waumini wapo mchanganyiko.
Serikali na ccm wabadilishe mbinu zao, wanaelekeza nguvu nyingi upande mmoja , lakini wanasahau upande mwingine ambao ndio hatari zaidi. Iko mikoa qmbayo ni strongholds ya wakristu,, ambapo zoezi la upogaji kura yanaweza kuathirika ktk kuwapata viongozi kama serikali italazimisha kwenda kwenye uchaguzi, unaweza kuta kata nzima walioenda kupiga kura ni watu kumi, kwa sababu hata viongozi wa ccm waliopo huko chini wataogopa kwenda kupiga kura kwa sababu ya kuogopa kufungiwa na dhehebu hilo.
Wewe uliwaza kama Mimi.Yetu macho, ngoja tuone, hata waraka uliotolewa ni wa kuutilia mashaka ,inawezekana ni wao, isipokuwa wanaukana kwa sababu inawezekana umetolewa muda usio muafaka
Pombe sio chai .Acha pombeUnabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la Lutheran nalo litakuja na waraka wa kuunga mkono; ijapokuwa wata tofautiana wao kwa wao, lakini haitasaidia. Kwa sababu baadhi ya maaskofu kwenye majimbo yao yatashikiria msinamo wao ,hivyo wataungana na Dhehebu la RC.
3. Madhebu mengine madogo madogo kama Anglijana, TAG, n.k yataunga mkono serikali kwa sababu ya njaa kali na kurubuniwa lakini hayatafanikiwa.
4. Tunzeni huu , unabii , Dhana ya no election ,ni kama vile CCM na Serikali yake inakosea namna ya kupigana nao, wanapambana na chadema na wanajisahau kuwa hakuna watu hatari katika hili kama vyombo vingine, Amazon ni taasisi za dini . Kuna baadhi ya maeneo yaliyo mengi wakristo ni wengi ukifananisha na dini nyingine. Ukitoa mikoa ya pwani , na maeneo ya mijini ambayo waumini wapo mchanganyiko.
Serikali na ccm wabadilishe mbinu zao, wanaelekeza nguvu nyingi upande mmoja , lakini wanasahau upande mwingine ambao ndio hatari zaidi. Iko mikoa qmbayo ni strongholds ya wakristu,, ambapo zoezi la upogaji kura yanaweza kuathirika ktk kuwapata viongozi kama serikali italazimisha kwenda kwenye uchaguzi, unaweza kuta kata nzima walioenda kupiga kura ni watu kumi, kwa sababu hata viongozi wa ccm waliopo huko chini wataogopa kwenda kupiga kura kwa sababu ya kuogopa kufungiwa na dhehebu hilo.
Pesa ya uchaguzi inatoka nje? Nani kakudanganya wewe.Husikilizi bajeti ya serikalini?Reforms zitafanyika sababu pesa ya kufanya uchaguzi ni msaada toka nje,
Na watoa msaada wameelekeza reforms kufanyika ndipo watoke pesa
Ni sawa tu na kutanguliza stend ilhal mwenye nauli bado ammelala ucngz,
Kaz ipo!
Sibishani mm!Pesa ya uchaguzi inatoka nje? Nani kakudanganya wewe.Husikilizi bajeti ya serikalini?
Pesa zillitengwa toka bajeti ya mwaka jana kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu
Hii naweza kukazia maana nimesema mara nyingi hum jf kabla ya mwaka huu na ndani ya mwaka huu, kwamba mwaka huu hakuna uchaguzi.Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,