Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Simba this tyme ataenda nusu fainali.Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.
Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali.
Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.
Simba akipangiwa Al Ahly kuna uwezekano wakavuka. Al Ahly sio wazuri kivile. Simba kumtoa Al Ahly sio ajabu.Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.
Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali.
Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.
Kumbuka mechi ya mwisho itakuwa Cairo. Yanga na Simba wote wataanzia nyumbani kwa kushika nafasi ya pili kwenye makundi yao.Simba akipangiwa Al Ahly kuna uwezekano wakavuka. Al Ahly sio wazuri kivile. Simba kumtoa Al Ahly sio ajabu.
Siku hizi ni tofauti sana ndugu. Sasa hivi waarabu wanatuheshimuKumbuka mechi ya mwisho itakuwa Cairo. Yanga na Simba wote wataanzia nyumbani kwa kushika nafasi ya pili kwenye makundi yao.
Mechi ya Simba vs Al Ahly umewaza kama mimi ila Yanga atapangwa kati ya Asec au atakayeongoza kundi la kina Petro Luanda.Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.
Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali.
Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.
Kwa hizi timu zingine, nina matumaini makubwa ya Yanga kuvuka hatua ya robo fainali.Mechi ya Simba vs Al Ahly umewaza kama mimi ila Yanga atapangwa kati ya Asec au atakayeongoza kundi la kina Petro Luanda.
Sababu ni nini wakati droo ndio inayoamua?Sio rahisi Mamelod kupangiwa timu kutoka Tanzania kwa hatua hii.
Haina shida ikiwa hivi. Kwa mzuka wa timu za Tanzania naimani kuna moja itafika nusu fainali. Ushabiki pembeni, tuitakie Tanzania mafanikio memaMimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.
Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali.
Muda utaongea, ila msije kusema sikuwaambia.
Droo inapigwa lini
Mbona wakina kaizer na orando walipangiwa kwann iwe ngum kwa mamelodySio rahisi Mamelod kupangiwa timu kutoka Tanzania kwa hatua hii.
Ikiwa hivyo simba ni kwaheriMiki nasema Yanga tutakutana na Petro Atletico, Simba na Mamelody.
Natamani Simba apewe Mamelod, haki ya nani nitakuwa pale kwa Mkapa kuwashabikia Mamelod.Miki nasema Yanga tutakutana na Petro Atletico, Simba na Mamelody.